LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 679
Ni padogo lakini athari zinaweza kuwa kubwa!! Unajua jinsi ya kuunganishwa kwenye grid ya Taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni padogo lakini athari zinaweza kuwa kubwa!! Unajua jinsi ya kuunganishwa kwenye grid ya Taifa?
Enzi hizo
Ndiyo mkuu jamaa alikuwa anarusha makonde kwaajili ya kujiteteaTraffic anang'ata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa nimeona kwenye taarifa ya habari kafikishwa mahakamani! Sijui hili lakutolewa jeraha litahukumiwa vipiHuyo dereva kungatwa angatwe na si ajabu sahv yuko lupango!
Ana subiria kupelekwa mahakamani
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unawajua jamaa zetu wakikupeleka kuleJamaa nimeona kwenye taarifa ya habari kafikishwa mahakamani! Sijui hili lakutolewa jeraha litahukumiwa vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah lakini haki itendeke maana jamaa anakovu kubwa yaani pale hata Usalama wa Afya yake uko mashakaniHivi unawajua jamaa zetu wakikupeleka kule
Wanavyojua kukugeuzia kibao[emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale kesi lazima imueleme tuDah lakini haki itendeke maana jamaa anakovu kubwa yaani pale hata Usalama wa Afya yake uko mashakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa naye alikuwa na mkono mzima kawachezesha vitasa vya kutoshaTraffic Wa bongo wanasomea mafunzo aliyopitia Louis Suarez na Mike Iron Tyson.
Shule imekushinda na ngumi zimekushinda, yaaani ulishindwa kupigana kiume uokote hata jiwe au tofali ukaamua kupigana kimama-mama kwa kuuma.
Aibu kubwa sana kwa Polisi Wa New York
Ni aibu sana kwa askari kumng'ata raia. Ndio yale tunasifia makomandoo wetu kupiga ngumi matofali... Afu tunatamba wanajeshi wetu wako imara.
Dunia ya sasa unawezaje kujisifia kupiga ngumi tofali? Mbeba box komredi Nyani Ngabu nifanyie mpango wa makaratasi nami nije kubeba box. Ulevi wa mavumbi sio ishu wallah
Tena wanaume wa mikoani wenye mamlaka na silaha.... wanamng'ata mwanaume mwenzao.... Acha niendelee kula biriani la Magomeni kwa bi ShadyaHahahaa unajua nini Komredi?
Niliposikia huyo trafiki kamng’ata jamaa nilicheka sana.
Nikajisemea tu mwenyewe hapa...hao trafiki walikuwa wapo watatu na wote wanamchangia, Sasa kwa nini huyo mmoja amng’ate huyo dreva?
Yaani jibaba zima unamng’ata mwanaume mwenzio?
Kumbe hata wanaume wa mikoani si chochote!
Kazi kuwananga wanaume wa Dar ilhali wao ndo bure kabisa.