Yajadi alafu ya kike vilevileNaona mzee baba askari kaamua kutumia siraha ya jadi
mambo yanabadilika ndugu......
Achana na wanaume wa mikoani mkuu, kwanza msikilize yule dereva na Kiswahili chake, yule sio wa Tandale yule, kwanza tokea lini wa Tandale atembee na PANGA Asprin, kubali tu yule sio mwanaume wa DarLeo wakulima mnajitetea sana. Hamumuoni mwanaume mwenzenu anatumia silaha ya meno kumdhibiti dereva?
Leo mnajitetea balaa.... hahahaa.Achana na wanaume wa mikoani mkuu, kwanza msikilize yule dereva na Kiswahili chake, yule sio wa Tandale yule, kwanza tokea lini wa Tandale atembee na PANGA Asprin, kubali tu yule sio mwanaume wa Dar
HIV inaweza kumhusu dereva au trafiki!Pole zao kwa kulichukulia kirahisi.Wao na wake zao,na familia zao na Taifa.Ni padogo lakini athari zinaweza kuwa kubwa!! Unajua jinsi ya kuunganishwa kwenye grid ya Taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli inaonyesha kwamba Trafiki wapo juu ya sheriamambo yanabadilika ndugu......
Ndio tatizo ulitokea ubishani wa maneno kila mtu akawa hataki kujishushaPolice ni wa hovyo kwani gari wangeliandikia faini si ilikua inatosha
Ndo uone hapo kuwa polisi wapo juu ya SheriaCha ajabu ameshitakiwa aiyeng'atwa aliyeng'ata yupo nje