Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

Huyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.

loooh!!....wewe ndio unaharibu kabisaaaa....!! kumbe huyu N/Waziri anatumia jina la marehemu...?

Hayo ni madhara ya kuwa na viongozi vihiyo, esp. JK, huteua wasaidizi vihiyo na kuunda serikali kihiyo yenye mifumo vihiyo na kutoa matokeo vihiyo.
 
Ebooooo!Tena?Ni huyo huyo MULUGO?
Huyu ndiye Dick Mulungu ambaye cheti chake ndicho Mulugo alitumia kupata kazi ya ualimu. Ni mtu wa kwao, na walisoma darasa moja Form VI Songea Boys.


Mwenzake alipoenda University, Mulugo alitumia cheti cha F. IV cha Mulungu kuajiriwa ualimu, kwa kuwa Philip Mulugo alipata Division 0 peke yake mwaka huo pale Songea Boys.

CURRICULUM VITAE
FULL NAME: DICK ARON MULUNGU ADDRESS: Mkwawa University College of Education,

P.O.BOX Private Bag, Iringa

DATE OF BIRTH: 07.06.1973.

My academic background is as follows;
In 2007 i completed MA (DEV. STUDIES) at the UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.
In 2001 i was awarded BA EDUCATION at the UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

in 1996 i completed ACSE at SONGEA BOYS SECONDARY SCHOOL and1993 completed OCSE at KAFULE SECONDARY SCHOOL.Currently am pursuing a PhD at the UDSM and

an assistant lecturer in development studies at MUCE, TANZANIA

Hapa ni CV ya Mulugo Hapo pekundu ndipo cheti cha Mulungu kilitumika. Wengine wanasema aliphotocopy na kubadili jina pale.

Watu wa Upelelezi wa kughushi wanaweza kuthibitisha wakiamua.

MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 882"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="align: center"]Member picture
1645.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Philipo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Augustino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mulugo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Songwe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9121, Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 315 922/+255 784 315 922[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]pmulugo@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]27 January 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 882"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa Primary School, Chunga[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Songea Boys' High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University of Tanzania[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics Education )[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 882"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From Date[/TH]
[TH="align: center"]To Date[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Songwe Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Southern Highland Secondary School[/TD]
[TD]School Managing Director[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Southern Highland Secondary School[/TD]
[TD]Administrative & Personnel Officer[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Southern Highland Secondary School[/TD]
[TD]Teacher[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 882"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member - National Executive Committee[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Secretary General - Mbeya Region (Parents)[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member - Chunya District Political Committee[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Amini aka Philipo mlugo hana pa kukimbilia kutokana hii issue ilipamba wakati wa uchaguzi wakati Mkgombea wa chademaakiitwa Ntwina kutaka kulipua hii jambo laakini wazee lakini baada ya huyu mlugo kucheza game ya kuichukua form ya mgombea wa chadema na kumkimbiaza halafua atambulike amepita bila kupingwa.

Ni kweli mlugo anavyeti vya kufoji hili halipingiki kama atakaye bisha kuwa SUGU NI MWONGO HATAPATA UZIMA WA MILELE .
anaitwa MLIGO na sio Mlugo huyu mwenye jina alishindwa kusoma shule, pia alipomaliza kidato cha sita mulugo akawa amejitolea kufundisha pale SOUTHERN HIGHLAND, AKAWA ACADEMIC NA BAADA YA AHAPO MKUU WA SHULE NA KUWA MKURUGEZI WA SHULE.AMBAPO UWAZIRI ALIPEWA BAADA YA KUWA KARIBU NA MERRY MWANJELWA(MB) HUYU AMEZAA NA JK ANA AMEJENGEWA NYUMBA KALI AHAPA MBEYA KARIBU NA SHULE HIYO W,WAKATI NIKISOMA PALE MGENI RASMI ALIKUWA NI MEERRY ILI KUWEZA KUMPIGIA CHAPUO.
:target::target::shut-mouth::A S soccer::A S soccer::A S soccer::majani7:
 
  • Thanks
Reactions: PSM
mtu anasahau jina mpaka awe ofsini kwake anapewaje uwaziri?
 
Hivi inahitajika mtu kuwepo ofisini ili ajibu swali linalohusiana na identity yake? Only in Tanzania this can happen!

...baada ya kumaliza tu kupiti hilo badiko hapo juu,swali la kwanza kujiuliza lilikuwa ni hilo ulilouliza mkuu...je hilo swali nalo-linahitaji upembuzi yakinifu,mchakato au makorokoro mengine kama hayo ili liweze kujibuwa!!!???...tulimwelewa Mulugo aliposhidwa kujua Tanzania ni muungano wa nchi zipi lakini kwa issue ya jina lake hasitake kututania kabisa...
 
Huyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.

.............Ili kukata mzizi wa fitina ....fanya jambo dogo tu !!! onyesheni hilo kaburi..... mbona kitu kidogo tu... jamaa ataishiwa nguvu..
 
Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake hamini badala ya Phillip. kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.

Una nia ya kumpiga deki lakini anakuangusha bado .Kusema jina lake si lake haihitaji kuwapo ofisini .Mbona kaongelea mengine .Watu wanataka waanzie shinani na si kule juu .Nawe ukaridhika kwa jibu hilo ?
 
Hivi inahitajika mtu kuwepo ofisini ili ajibu swali linalohusiana na identity yake? Only in Tanzania this can happen!

Yes, the tanzania that is made up of the two islands of Unguja and Zimbabwe!
 
kama alimaliza huenda alikuwa bingwa wa kufanyiwa assignment na test!amin bwana ndio maana huwa hawasikilizi hata matatizo ya wanafunzi esp kwa high learning institution!daaa Amin huyo!??!??
 
Nasisitiza tena,ndugu Amim Agustino(naibu waziri wa elimu),anatumia cheti na jina la hayati Philipo Mulugo,kama anabisha aje akanushe,akikimbilia mahakamani,sisi tutakimbilia lilipo kaburi la hayati Philipo Mulugo.
Busara ni kueleza kaburi la Philipo Mulugo lipo wapi kwa hapo Mbeya na ikiwezekana kulipiga picha na kuweka hapa.......

Tofauti na hapo itaonekana ni porojo tu za kuchangamsha kijiwe.........
 
Hajibu lolote huyo amechapa lapa huyooo, eeeeee huyoooo mluuu huyoooo
 
Amini aka Philipo mlugo hana pa kukimbilia kutokana hii issue ilipamba wakati wa uchaguzi wakati Mkgombea wa chademaakiitwa Ntwina kutaka kulipua hii jambo laakini wazee lakini baada ya huyu mlugo kucheza game ya kuichukua form ya mgombea wa chadema na kumkimbiaza halafua atambulike amepita bila kupingwa. Ni kweli mlugo anavyeti vya kufoji hili halipingiki kama atakaye bisha kuwa SUGU NI MWONGO HATAPATA UZIMA WA MILELE . anaitwa MLIGO na sio Mlugo huyu mwenye jina alishindwa kusoma shule, pia alipomaliza kidato cha sita mulugo akawa amejitolea kufundisha pale SOUTHERN HIGHLAND, AKAWA ACADEMIC NA BAADA YA AHAPO MKUU WA SHULE NA KUWA MKURUGEZI WA SHULE.AMBAPO UWAZIRI ALIPEWA BAADA YA KUWA KARIBU NA MERRY MWANJELWA(MB) HUYU AMEZAA NA JK ANA AMEJENGEWA NYUMBA KALI AHAPA MBEYA KARIBU NA SHULE HIYO W,WAKATI NIKISOMA PALE MGENI RASMI ALIKUWA NI MEERRY ILI KUWEZA KUMPIGIA CHAPUO. :target::target::shut-mouth::A S soccer::A S soccer::A S soccer::majani7:
.....UUUUUUUUUUUUUUUUHiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wale wana intelligentsia wako wapi................Usalama wa Taifa...... mbona kazi ndogo sana hii....
 
sikatai mnachokitafuta
mjue ana watoto na familia kubwa sana inamzunguk ana kula kupitia cheo hiki
ushauri tumpotezee tu mi naangalia maafa yatakayotokea kwa familia sio kwake
 
Hivi kuna mwenye kumbukumbu ya lile suala la Mr. Kihiyo.......lilianzaje na ni watu gani walilishikia bango mpaka Mr. Kihiyo akaumbuka na kupigwa chini..........mwenye kumbukumbu please.......
 
Jambo jingine linalotatiza kwenye hii issue ya "Amim" Mulugo.......ni consistency ya stories zinazotolewa na watu mbali mbali wanaodai kumfahamu............hapa najiuliza....je alichakachua jina la jamaa aliyepo Mkwawa University College? au anatumia jina la marehemu..........can someone clear this confusion.........
 
Jambo jingine linalotatiza kwenye hii issue ya "Amim" Mulugo.......ni consistency ya stories zinazotolewa na watu mbali mbali wanaodai kumfahamu............hapa najiuliza....je alichakachua jina la jamaa aliyepo Mkwawa University College? au anatumia jina la marehemu..........can someone clear this confusion.........

Ukweli ni kwamba,ndugu Amim Agustino(naibu waziri) ametumia majina ya watu wawili tofauti kama ifuatavyo.Alitumia jina na cheti cha Dick Aron Mulungu(bado yupo hai,Mwalimu pale chuoni Mkwawa-Iringa) ili ajipatie ajira katika shule ya sekondari Southern highland,na kwa sasa anatumia jina la mtu mwingine aliyekwishafariki,marehemu Philipo Mulugo. Tunasubiri go ahead tu,tutatoa visibitisho vya kifo cha marehemu Philipo Mulugo.
 
Busara ni kueleza kaburi la Philipo Mulugo lipo wapi kwa hapo Mbeya na ikiwezekana kulipiga picha na kuweka hapa.......

Tofauti na hapo itaonekana ni porojo tu za kuchangamsha kijiwe.........


Nakubaliana na wewe mkuu Balantanda,

Mzima lakini Bala?

Hongera sana, naona jana mmepumua....!!
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wetu wamezoea urasimu kwa hyo hata kujibu 'ndiyo' au 'hapana' inahitaji urasimu? Kaazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom