Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

Kama ingekuwa uongo "angemshitaki Mh Sugu for deformation of character" Waziri elimu ameungaunga, he didn't know Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar
 
Ndugu zangu watanzania hakuna ukweli wowote juu ya hizi tuhuma. Haya mambo yanaongelewa kiushabiki na kuchafuana kisiasa tu.
Labda niwakumbushe tu kwamba, tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu hapo 2015, kuna mengi yata semwa hapa lakini hizi ndio siasa zetu, na siku zote mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
Nawasihi tufanyeni kazi kwa bidii, tuachane na hizi propaganda, hazitusaidii lolote.

Hivi wewe ni "MULUGU" au "MULUGO"?...........sawa zaweza kuwa ni tuhuma......sasa si usieme ukweli ni upi?......halafu tafadhali sana usiunganishe hizi tuhuma (kama unavyoziita) na siasa...........the point of politics unayojaribu kuileta is not relevant na hii issue.......na hii inaendelea kukuumbua (kama kweli ni wewe mhusika) zaidi........
 
Ndugu zangu watanzania hakuna ukweli wowote juu ya hizi tuhuma. Haya mambo yanaongelewa kiushabiki na kuchafuana kisiasa tu.
Labda niwakumbushe tu kwamba, tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu hapo 2015, kuna mengi yata semwa hapa lakini hizi ndio siasa zetu, na siku zote mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
Nawasihi tufanyeni kazi kwa bidii, tuachane na hizi propaganda, hazitusaidii lolote.

namuomba yule jamaa aliyesema kutupeleka hadi kaburini kwa p mulugo aje hapa!
 
Huyu lofa kweli, au ndiyo maana hajui TZ ni muungano wa nchi gani ? Mpaka awe ofisini ndiyo anaweza kujibu juu ya jina ?? Nasikia hata Mpesya ni yy aliomba apewe U DC maana alitaka kumuumbua coz kamfundisha pale mbeya day...lol

Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake Hamini badala ya Phillip. Kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote, na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu. Kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.
 
Asante Mkuu kwa kutu-allert. But just for your information. SWALA ni mnyama wa porini jamii ya mbuzi na SUALA ni jambo au kwa kiingereza ISSUE.

Asante.
 
Ndugu zangu watanzania hakuna ukweli wowote juu ya hizi tuhuma. Haya mambo yanaongelewa kiushabiki na kuchafuana kisiasa tu.
Labda niwakumbushe tu kwamba, tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu hapo 2015, kuna mengi yata semwa hapa lakini hizi ndio siasa zetu, na siku zote mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
Nawasihi tufanyeni kazi kwa bidii, tuachane na hizi propaganda, hazitusaidii lolote.

Hili ndilo tatizo la wanasiasa wa Tanzania.

Kuanza kuingiza mambo ya siasa kwenye maswali ambayo hayahitaji hata dakika moja kujibu ni dalili ya kutafuta huruma za kisiasa na kuigawa jamii katika misingi ya itikadi ili madai yafunikwe kisiasa. for God's sake, it's still 2012

Mh.Naibu Waziri, kwani ni kitu gani kinakufanya ushindwe kuzijibu hizi tuhuma ki academia badala ya kisiasa.

Take my word. Ukimya wako unaifanya jamii izidi kuchimbua na kutaka kujua mengi juu ya mtiririko wa maisha yako. Natumaini unafahamu kama Miaka ya funika kombe mwanaharamu apite haipo tena.

We are starting to read between the line

We'll keep on knocking your door with the same question until.....
 
Nawashauri OUT wai-revoke degree ya Mulugo "Amim"..........na apewe Certificate of attendance tu, mpaka atakapo-clear hili wingu...........la kuchakachua elimu yake huko nyuma......

hata mwenye certificate anafahamu Tanzania inatokana na nini hata darasa la nne anajua Tanzania inatokana na nini, nashindwa kusema huyu jamaa ana elimu gan?
 
Mbona mmekomalia sana elimu za watu! Suala ni kuelimika siyo kusoma!
 
jamaa kasahau jina lake ofisini....subiri akailete....daaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhh......hii ndo bongo bhana...
 
Mi nafikiri kwa mwenye akili ameisha jua kama Mulugo (Amini) ameisha toa jibu tayari, kwani kujibu kama wewe jina lako nani inahitaji uvumlivu upi, mbona aliposomea amepataja kwamba ni OUT, kashindwa nini kusema kama yeye ni Mulugo au Amini?
 
Haya sasa nimeishafika ofisini, niulizeni maswali yenu sasa, ila yawe yanahusiana na utendaji wa kazi zangu za sasa, sio kuhusu historia yangu!
 
huyo ndugu naibu waziri amim agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la philipo mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.

makubwa, ina maana kachukua jina la marehemu?! Hivi rais anahakikishaje candidate anaowachagua wanastahili? Na inamchukua muda gani rais wa tz kugundua kwamba amebandika mtu asiyestahili kwenye uongozi? Labda siku hizi uwepo utaratibu wa rais kueleza vigezo vyake vingine vya teuzi anazozifanya, labda tunaweza kuona logic
 
Mkimalizana na huyu hamishieni majeshi kwa yule jamaa anayetukana watu-Lameck Madelu Mkumbo
 
Ndugu zangu watanzania hakuna ukweli wowote juu ya hizi tuhuma. Haya mambo yanaongelewa kiushabiki na kuchafuana kisiasa tu.
Labda niwakumbushe tu kwamba, tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu hapo 2015, kuna mengi yata semwa hapa lakini hizi ndio siasa zetu, na siku zote mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
Nawasihi tufanyeni kazi kwa bidii, tuachane na hizi propaganda, hazitusaidii lolote.
Sawa mkuu, lakini hebu jibu hili swali rahisi: wewe ni ndiye amim?
 
Hebu vuteni subira,si unajua alikuwa likizo kwa hiyo taarifa zote likiwemo jina ziko ofisini jamani
 
Una maana hakumbuki jina lake mpaka akaangalie kwenye mafaili ofisini au?
 
Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake Hamini badala ya Phillip. Kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote, na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu. Kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.

Kama ni kweli basi huyu bwana ni kihiyo of the highest order. Sioni uhusiano wa kukiri jina na ofisi. Wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom