Mtoboasiri mazungumzo yalikuwa hivi...
Swali: Hallo naongea na Mtoboasiri?
Jibu: Ndio
Swali: Tuambie elimu yako
Jibu: Nimesoma OUT na ukienda utakuta taarifa zangu, sijachakachua kaka
Swali: Vipi kuhusu jina tunasikia Mtoboasiri sio jina lako halisi weye waitwa Ammi
Jibu: Aam unajua siko ofisini halafu nipo safarini kurudi Dar, nitafute jumatatu nikiwa ofisini nitakujibu.
Wallah usipoipenda hii nchi kwa vivutio vyake basi utaipenda kwa wasanii wake....full package
Mkuu are you serious?
Maelezo ya waziri yamegubikwa na wingu zito. Mbona kuhusu elimu yake ya chuo kikuu amejibu huko huko njian kuwa tukaulize Open University tutapata majibu yote??Lakini ilipokuja suala la Jina ni hadi akalie kiti cha ofisi??? Mbona hili swali halihitaji alijibu kama waziri bali kama Mulugo tu?Haitaji kukalia kiti cha ofisi ndipo atueleze ulakini wa jina lake. Nilitegemea atuelekeze uzazi na vifo ya wilaya fulani au alipoanzia shule ya msingi ili tukachukue hapo takwimu zake. Psychologically, huyu bwana anaandaa uongo! Ngoja tuusubirie.Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake hamini badala ya Phillip. kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.
Huyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.
Umenifurahisha sana kamata huyooooHuyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.
Kaburi la Philipo Mulugo lipo Mbeya,Labda ndugu naibu waziri Amimu Agustino akalifukue,kufuta ushahidi,baada ya tuhuma hizi mpya.
Kaburi la Philipo Mulugo lipo Mbeya,Labda ndugu naibu waziri Amimu Agustino akalifukue,kufuta ushahidi,baada ya tuhuma hizi mpya.
Statement unayoiongelea mkuu imeandikwa na Politik, inawezekana Mulugo hakuitoa hivyo, ila mleta mada huenda ndiye aliyeiweka hivyo. Mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni!Mheshimiwa Amim kwa hiyo Statement yako hapo Kwenye Rangi Nyekundu wala hatuhitaji kwenda kuwasumbua jamaa wa OUT (Open University of Tanzania) kupata uhalisia wa elimu yako.
Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake hamini badala ya Phillip. kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.