Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

Ningekuwa Hamim Augustino ningeshajiuzuru uongozi kwa mashambulizi haya hapa na bado? Ushauri wangu bwana Hamim tulia kama mwenzio Shukuru acha kelele utaumbuka zaidi!
 
Jamani Makamanda wekeni kila kitu wazi ili kihiyo "Mulugo" ajue kuwa sisi tupo serious. Hatuwezi kuendelea kuongoza na mabumbumbu wa aina ya Mulugo ni aibu na mzigo wa fedha za walalahoi na taifa letu kwa ujumla
Huyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.
 
Naibu Waziri, tena wa Elimu hawezi kujibu swali kuhusu ID yake mwenyewe?!!!. Kwani kuna tabu gani kusema Kwa mfano"Jina langu halisi ni Thanda Siyabonga Similane" Vipi Kuhusu elimu yako mheshimiwa,,,,"well said , Nimesoma UNISA 1998-2001 shahada ya Uzamili wa Biashara na nimejikita zaidi katika fani ya Masoko".......hapo unaendelea kufunguka zaidi. Majibu hayahitaji kuwa ofisini kwani kama mtu anasema ukweli, basi huo hudumu ila kwa majibu yasiyo majibu ya huyu mheshimiwa yanabaki na maswali mengi.....MAWAZIRI WENGI WA SERIKALI YA NNE NI WAONGO.
Big up Thanda!!
 
Back
Top Bottom