saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 100
JF ni kiboko....hapa uta-elimika, uta-habarika, burudika nk
Hajui jina lake mpaka aangalie katika mafaili ya ofisini.
Hiyo itoshe kukuambia kuwa Mr. President hayupo serious katika kuiinua elimu ya Mtanzania. Mulugo atamshauri nn Rais kuhusu elimu wakati yeye mwenyewe ana elimu ya kimagumashi???Yeye namshangaa kidogo, waliomchagua kuwa mbunge nawashangaa zaidi, ila alyemteua kuwa naibu waziri namshangaa sana. Hivi ni kweli hakuna watu wenye vigezo na uwezo wa kusimamia elimu yetu? Kwa kukumbatia watu kama hawa, je tutafika?
Huyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.
Huyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.
Statement unayoiongelea mkuu imeandikwa na Politik, inawezekana Mulugo hakuitoa hivyo, ila mleta mada huenda ndiye aliyeiweka hivyo. Mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni!
Nadhani huyo Mulugo ni fraud tu.
Kaburi la Philipo Mulugo lipo Mbeya,Labda ndugu naibu waziri Amimu Agustino akalifukue,kufuta ushahidi,baada ya tuhuma hizi mpya.
Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake hamini badala ya Phillip. kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.
Hiki nafikiri kinaweza kuwa kituko cha kufungia mwana 2012. Yaani mtu kutaja jina lake hadi akaangalie kwenye mafaili yake ofisini? Mh, hii ngumu kumeza.Mtoboasiri mazungumzo yalikuwa hivi...
Swali: Hallo naongea na Mtoboasiri?
Jibu: Ndio
Swali: Tuambie elimu yako
Jibu: Nimesoma OUT na ukienda utakuta taarifa zangu, sijachakachua kaka
Swali: Vipi kuhusu jina tunasikia Mtoboasiri sio jina lako halisi weye waitwa Ammi
Jibu: Aam unajua siko ofisini halafu nipo safarini kurudi Dar, nitafute jumatatu nikiwa ofisini nitakujibu.
Wallah usipoipenda hii nchi kwa vivutio vyake basi utaipenda kwa wasanii wake....full package
Ndo maanakekwan philipo murugo original ni marehemu?
Jina mpaka afike ofisini? Mbona ya degree amejibu akiwa safarini? Asitutanie kabisa!Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake hamini badala ya Phillip. kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.
kwanini usingesubiri upate data kamili hiyo jumatatu, ndipo uanzishe thread?Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake hamini badala ya Phillip. kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.
Huyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.
Huyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.
mkuu hapo mbona umemaliza matatizo yote ya kilaza mulugo....
Atutajie baba yake anaitwa nani,alafu babu yake,alafu tuendelee na mambo mengine.
Hivi intelijensia ya jah kaya bado anaiamini tu??
Inawezekana aniyesema chuo kikuu cha open university sio Mulugo bali ni mleta mada au mwandish, Mulugo ahukumiwe kwa hili iwapo alisikika live akisema chuo kikuu cha open university.Haki gani?
kwan philipo murugo original ni marehemu?