Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

Mlio soma sheria mnajua mnaruhusi kuingia kwenye exams na vitabu vya sheria mbalimbali ili msinukuu tofauti,na yye anaogopa mambo ya zimbabwe na pemba yasitokee tena,kamaliza siku nyingi f6 na vilevile ana majukumu mengi,asije sema kamaliza Makongo 2000 hamtamwelewa!Inahitaji muda na nafasi kukutetea kitu kisicho chako!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Nikikumbuka kile kitabu cha mfalme JUHA huwa naona kama jamaa aliiona tanzania ya kesho. Lord have mercy.
So are you saying the real PHILIP MULUGO is dead?
May God rest his SOUL IN PEACE.
Mshkaji anaitwa AMIMU. Hahahaaaa. Tanzania zaidi ya uijuavyo. Mpaka watoke hawa tutaona mengi
 
Ajibu swali pia, Open University walimpokeaje wakati ana Division 0 ya Form VI?

Anasemaje kuhusu cheti cha Dick Mulungu alichotumia kupatia kazi ya kufundisha?

Anasemaje kuhusu shule aliyokuwa anaiongoza kufutiwa matokeo na kufungiwa kwa udanganyifu?
 
Amewezaje kukujibu swali la kwanza akashindwa la pili......??mbabaishaji tu
 
Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake hamini badala ya Phillip. kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.

Kwenye RED and bold, Huyu Kihiyo Karudia tena ya "University direct moja kwa moja" au Mkuu we ndo ume bugi
 
Ajibu swali pia, Open University walimpokeaje wakati ana Division 0 ya Form VI?

Anasemaje kuhusu cheti cha Dick Mulungu alichotumia kupatia kazi ya kufundisha?

Anasemaje kuhusu shule aliyokuwa anaiongoza kufutiwa matokeo na kufungiwa kwa udanganyifu?

Tutajua mengi mwaka huu. People kwa kuklick the right bottons tu hahahaaa mi is liking this jf. I'm addicted.
Fraud
Fraud
Fraud everything
Ndo maana watoto wahajui kusoma wala kuandika na wanafaulu
 
Mambo mengine yanakera sana....

Ndiyo maana hii nchi ipo kama haipo!!
 
Amewezaje kukujibu swali la kwanza akashindwa la pili......??mbabaishaji tu

Swali gumu sana hilo. Inabidi apate ushauri wa kisheria kwanza kabla hajalijibu.
Manake akilijibu kirahisi rahisi atazidi kujizulia ya kuzua.
Umeona kuna sehemu anasema wenye shaka na elimu yake waende kuuliza chuo kikuu cha open university! Wenye akili nzuri tumeshamuelewa...
 
ili nishangaza sana kwani swali langu la jina lilikuwa na jawabu moja YES or NO, Swala la kufika kwanza ofisini ndio haweze kunijibu kwa kweli lilinishangaza kiasi fulani lakini let's give him the benefit of doubt.

Kuja ofisini kuna mantiki ili aweze kuwa na document ili hata ukitaka spelling aweze kuspel vizuri. Siunajua majina haya ukawii kukosea. :target: anakuja haraka msubilini
 
Huyo ndugu naibu waziri Amim Agustino akiendelea kuleta ujanja ujanja tutaenda kumuonesha hadi kaburi la Philipo Mulugo,ndio ajue watu tupo serious na hii inshu.

Mkuu, mwaki hebu nisaidie kujua P. Mlugo (original) kafariki akiwa na umri gani, na nini chanzo cha kifo chake? Hofu yangu isje ikawa kwa manufaa ya kulinda jina ndo ameondolewa uhai!!!
 
naipenda nchi yangu maana ina vivutio vingi sana,inanicheksha nikiwa nimenuna!!! na pia inanihuzunisha nikiwa nimefurahi!!kiongozi wa elimu feki je elimu itakuaje????
 
Kesho waandishi wa habari mjihimu ofisini kwake mupewe taarifa sahihi kuhusiana na uchakachuaji wa kutisha kwa kiongozi kama yeye.muwajulishe wananchi ukweli wa jambo hilo mapema iwezekanavyo.Tunawategemea WAANDISHI WA HABARI kutokana na kujitokeza kama muhimili mwingine mpya (wa nne) kati ya vile vilivyopo.
 
Ajibu swali pia, Open University walimpokeaje wakati ana Division 0 ya Form VI?

Anasemaje kuhusu cheti cha Dick Mulungu alichotumia kupatia kazi ya kufundisha?

Anasemaje kuhusu shule aliyokuwa anaiongoza kufutiwa matokeo na kufungiwa kwa udanganyifu?
Ebooooo!Tena?Ni huyo huyo MULUGO?
 
Hayo yote yana prove kwamba jamaa ni kilaza. Ujeruman waziri Yosch Kafisher aliwahi kujiuru kwa kuonekana amecopy sentense fulani kwenye research yake lakini huku kwetu aliyenunua vyeti vya marehemu anakuwa waziri tena wa Elimu! Shame CCM!!!!!
 
Hapo ndo mje gundua kwamba elimu yetu haiwezi endelea hata muweke nini. Kama mtu huyu ni mzimamizi wa elimu ya juu mpaka chini kabisa. Tujiandae kufaulisha wasio jua kusoma na kuandika tena ili tuingie vizuri kwe maajabu saba ya Duni.:cheer2:
 
Ajibu swali pia, Open University walimpokeaje wakati ana Division 0 ya Form VI?

Anasemaje kuhusu cheti cha Dick Mulungu alichotumia kupatia kazi ya kufundisha?

Anasemaje kuhusu shule aliyokuwa anaiongoza kufutiwa matokeo na kufungiwa kwa udanganyifu?
duh!!!
 
Nashauri Mods wawasiliane na Mh Mulugo ili kupata uhakika kama kweli Jumatatu atatoa ufafanuzi wa hizi tuhuma ambazo kwa kweli ni kubwa na mbaya sana kwake.

Na kwa kuwa JF ni chanzo kikubwa cha habari nchini, basi hii inaweza kuwa nafasi muhimu kwa Mh Naibu Waziri kufanya press conference na kusafisha hali ya hewa.

Vinginevyo, habari kama hii inaelea hewani wakati ina taarifa nyeti na muhimu kwa Taifa na especially katika sector ya elimu.

Naamini Invisible, Maxence Melo, Paw na wakuu wote wa JF wataweza kufanya ufuatiliaji.
 
Last edited by a moderator:
This is too much!! Mh. Mulugo andaa press umalize huu utata..ASAP!
 
Ebooooo!Tena?Ni huyo huyo MULUGO?
Huyu ndiye Dick Mulungu ambaye cheti chake ndicho Mulugo alitumia kupata kazi ya ualimu. Ni mtu wa kwao, na walisoma darasa moja Form VI Songea Boys.


Mwenzake alipoenda University, Mulugo alitumia cheti cha F. IV cha Mulungu kuajiriwa ualimu.

CURRICULUM VITAE
FULL NAME: DICK ARON MULUNGU ADDRESS: Mkwawa University College of Education,

P.O.BOX Private Bag, Iringa

DATE OF BIRTH: 07.06.1973.

My academic background is as follows;
In 2007 i completed MA (DEV. STUDIES) at the UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.
In 2001 i was awarded BA EDUCATION at the UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

in 1996 i completed ACSE at SONGEA BOYS SECONDARY SCHOOL and1993 completed OCSE at KAFULE SECONDARY SCHOOL.Currently am pursuing a PhD at the UDSM and

an assistant lecturer in development studies at MUCE, TANZANIA

Hapa ni CV ya Mulugo Hapo pekundu ndipo cheti cha Mulungu kilitumika. Wengine wanasema aliphotocopy na kubadili jina pale.

Watu wa Upelelezi wa kughushi wanaweza kuthibitisha wakiamua.

[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1645.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Philipo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Augustino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mulugo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Songwe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9121, Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 315 922/+255 784 315 922[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]pmulugo@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]27 January 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa Primary School, Chunga[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Songea Boys' High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University of Tanzania[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics Education )[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From Date[/TH]
[TH="align: center"]To Date[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Songwe Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Southern Highland Secondary School[/TD]
[TD]School Managing Director[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Southern Highland Secondary School[/TD]
[TD]Administrative & Personnel Officer[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Southern Highland Secondary School[/TD]
[TD]Teacher[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member - National Executive Committee[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Secretary General - Mbeya Region (Parents)[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member - Chunya District Political Committee[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Back
Top Bottom