Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
mtume kairuki akamtoeasa kama vyeti vya nini, mbona kulikuwa na ihakiki wa vyeti feki? na watu kibao wametolewa kazini sababu hiyo, asa kwanini yeye asifwatiliwe kujua ukweli.
mtume kairuki akamtoeasa kama vyeti vya nini, mbona kulikuwa na ihakiki wa vyeti feki? na watu kibao wametolewa kazini sababu hiyo, asa kwanini yeye asifwatiliwe kujua ukweli.
Aaaaahahaha.. Awesome??? Who? Konda!! AaaaaahahahahahahahahshahahahhaaaaaaaaaaaAwe Daudi awe Paul that kiumbe is awesome, that's it! Chapa kazi RC wetu!
Daaa, nin kilimtuma lkn. Ona sasa wazazi wanateseka. Iyo clip mkuu na mim nisikieAmekimbia!! Pia Mahakama wangepata reference anaweza kwenda kwenye redio binafsi tena saa 1 asubuhi anashindwa kwend mahakamani!! Pia atazidi kujikoroga! Naona anajuta kw nini alikuwa kimbelembele!! Nimeona clip ya wazazi wake wanaongea na media hadi huruma!! Anawatesa wazazi waanze kudanganya na kusema uongo!! Yamemkutaa
hatumwi mtu, tuombe uhai. afu tushuhudie.mtume kairuki akamtoe
Unafikiri anaelewaga somo basi huyo, kikawaida Binadamu ubongo huwa unakomaa kadili anavyo kuwa Ila kwahuyu hiyo process imeenda kinyumeIla kiukweli Le Mutuz rudisha jeshi nyuma ujipange, hakika hawa wanaokuzodoa humu ni vijana rika la wanao (kwa umri ulionao) na ni ukweli usiopingika kwamba unajihusisha sana na vijana umri wa wanao,hii ni aibu kubwa. Mwisho, si lazima uwe mpambe/pariparii kwa watoto ili uishi,huwa najisikia vibaya sana unapotukanwa na vijana wenye umri wa kuwazaa. Pumzika Le Mutuz walau uishi maisha ya heshima katika muda huu uliobaki wa wewe kuwepo duniani kabla mwenye roho yake (Mungu) hajaichomoa.
Tushindwe kufanya mambo ya msingi et kisa kujibu tuhuma ambazo zimezushwa na mkata kiuno Mange kimambii
Necta mpo wapi muda huu hata kauli hamjatoa, hii double standard sio nzr mlikuwa mnawasakama mijusi wakati joka (Daud bashite) anatamba ofisni kwake na cheti fakeImetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Mpaka sasa mambo mengi sana yamesimama kwasababu ya uhakiki,ilifika kipindi hata mikopo ilisimama kwa wafanyakazi halafu leo anakuja mtu anasema hakuna tatizo?Ha ha ha....!
Utetezi wa kitoto sana.
Sasa
mlikuwa mnasumbua wafanyakazi kwenye msako wa vyeti feki ili nini?
Ilhali kama unachapa kazi hakuna shida?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Mimi sina neno.
Niliona clip siku anamchongea Kabwe (rip) nilishangaa huyu kiumbe ni wa aina gani. Raha yake ni kuona wengine wanaumia, Sijui kama familia ile inaweza kusahau.Hatimae Makonda kaanza kuishi kwa kujificha ficha.
Yangekuwa hayana utata yangeshaletwa shikamoo Mange!Jamani Mimi huwa naamini humu jamii forum tuna watu wa kila aina...secta zote tunao..
Inaamaana tumekosa mfanyakazi wa necta atusaidie hii kazi ya kupata matokeo ya huyu Daud Bashite na matokeo ya paul Christian makonda??
Watumishi wa necta mliopo humu Jf tusaidiane ktk hili jambo jamoney hahaaaaaaaaaaaa
I wish I KUDU Bi a chair person of NECTA...# in baba Jessica voice[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yangekuwa hayana utata yangeshaletwa shikamoo Mange!
Hahahaha... kwa mkuu wa mkoa, halina mashiko.[emoji3] sasa hili la uhakiki wa vyeti kwa watumishi halina mashiko?
Tena angewapa vyeti wanahabari watoe nakala kabisa kama alivyowapa yale majina ya vita vyake feki vya unga.Kwa namna ninavyomfahamu huyu jamaa, kama angekuwa kasingiziwa wakati hakufoji na vyeti anavyo visivyo na shaka lolote, nadhani angeahirisha safari ya nje ya nchi akaja na mavyeti yake tena kwa makomfidensi ili kuwatahayarisha watesi wake. Sasa nashangaa kuona anakwepa kutolea maelezo tuhuma zinazomkabili
Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
asa kama ana cheti chakwake hakina ujanja si aweke hadharan kwan nn bana mbna wengine hata ukitaka mda wowote tunaojiamin na vyeti vyetu tunaweka tu.yy kama anacho mali yake aweke mambo hadharan ujanja ujanja hakuna tenaRC Makonda huu ni upepo wa wafitini wako, wenye chuki binafsi na wafuasi wa wale kujivua gamba na chadema ambao wanataka kutumia VITA uliyoanzisha ya Wauza Madawa y Kulevya kama platform ya kukushambulia. Simama imara Mungu yuko nawewe utashinda na utavutagh'ambo.
Bila wewe hatua iliyofikiwa sasa na serikali ya awamu ya tano kwenye kupambana na biashara haramu ya "unga" ISINGEKUWAHAPO. Mungu akupe moyo na akulinde