Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

I ain't kissing nobody's ass;Nadhan mwaka huu unatimiza 60 umri wa mstaafu lakin unatumia muda mwingi kusifia na kutetea wanaume wenzio uliowazid umri alafu unajiita akili kubwa!ulipoteza wapi miaka yako 60 kwa kutojipanga?wewe haukua mtu wa kupoteza muda kuhaha mitandaon kumtetea politician ili uishi mjini ulikua na exposure na ungejipanga ulitakiwa uwe unasifiwa na kutetewa now but it is too late damn wewe ni wa kuwa level ya Steve Nyerere?

- hahahahahahahaha sasa mkuu wewe unayetetea maadui wa wanaume wenzio kwa umri wako ina maana wewe nini nini nikuiteje? hahahahahaha umri wa Steve unaujua? hahahahahaha pole sana ungekuwa mwanaume kweli unetumia jina na picha yako kama mimi ni kwa sababu unaume wako ni wasi wasi ndio maana unaogopa hahahahahahaha JIPANGE TENA MJINGA WEWE HAHAHAHAHAHAHHAA

le Mutuz
 
Wote mko kwenye nyumba za nyasi kisha unaanza kuchoma nyumba za wenzako kweli yako itakuwa sawa kama si kuanza kuchomeana nyumba.!?
 
Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.

My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Daudi BASHITE..huko ulipo huna pakukimbilia...tunajuwa kama unafanya mipango huko NECTA...na umeweka watu wako ili usikaguliwe VYETI vyako...ila huna utakalokwepa...issue ya VYETI.. KUJILIMBIKIZIA MALI..WALA KUPIMWA MARINDA...hutoki hata moja...jifiche hivyo hivyo..tutakupima MARINDA hata kwa mbinde...
 
- hahahahahahahaha sasa mkuu wewe unayetetea maadui wa wanaume wenzio kwa umri wako ina maana wewe nini nini nikuiteje? hahahahahaha umri wa Steve unaujua? hahahahahaha pole sana ungekuwa mwanaume kweli unetumia jina na picha yako kama mimi ni kwa sababu unaume wako ni wasi wasi ndio maana unaogopa hahahahahahaha JIPANGE TENA MJINGA WEWE HAHAHAHAHAHAHHAA

le Mutuz
Kweli nimeamini ukubwa wa mwili si wingi wa akili na busara kichwani. Unatia aibu upambe hauwezi kukusaidia nashangaa mtu mzima unatetea jinai we vipi!
 
Kweli nimeamini ukubwa wa mwili si wingi wa akili na busara kichwani. Unatia aibu upambe hauwezi kukusaidia nashangaa mtu mzima unatetea jinai we vipi!
Kwani huyo W J MALECELA ndy lemutuz?
 
Magaazeti na wanahabari za uchunguzi wachunguze jambo hili waanzie Necta hata mkuu naye nasikia phd yake inautata yaani we acha tu.....[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji40][emoji40]
 
- hahahahahahahaha sasa mkuu wewe unayetetea maadui wa wanaume wenzio kwa umri wako ina maana wewe nini nini nikuiteje? hahahahahaha umri wa Steve unaujua? hahahahahaha pole sana ungekuwa mwanaume kweli unetumia jina na picha yako kama mimi ni kwa sababu unaume wako ni wasi wasi ndio maana unaogopa hahahahahahaha JIPANGE TENA MJINGA WEWE HAHAHAHAHAHAHHAA

le Mutuz
Ila kiukweli Le Mutuz rudisha jeshi nyuma ujipange, hakika hawa wanaokuzodoa humu ni vijana rika la wanao (kwa umri ulionao) na ni ukweli usiopingika kwamba unajihusisha sana na vijana umri wa wanao,hii ni aibu kubwa. Mwisho, si lazima uwe mpambe/pariparii kwa watoto ili uishi,huwa najisikia vibaya sana unapotukanwa na vijana wenye umri wa kuwazaa. Pumzika Le Mutuz walau uishi maisha ya heshima katika muda huu uliobaki wa wewe kuwepo duniani kabla mwenye roho yake (Mungu) hajaichomoa.
 
Khe kheee kheeeeeeee tumbo jotooooo. MUJINI hakukaliki!

Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.

My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
 
mwacheni afanye kazi bhana kwani cheti ni nini watu tuna vyeti og tunaumbuka mtaani tu
asa kama vyeti vya nini, mbona kulikuwa na ihakiki wa vyeti feki? na watu kibao wametolewa kazini sababu hiyo, asa kwanini yeye asifwatiliwe kujua ukweli.
 
Back
Top Bottom