Uko sahihi mkuu,lakini kama alikuwa hana kweli atakataje fitna?Suala la cheti feki siyo suala dogo mkuu.Hili jambo linalo zungumzwa yapata wiki nzima sasa si jambo dogo kabisa, inabidi lifikie tamati yake,na ili lifikie tamati yake mimi namshauri RC makonda (kwa ujasiri alioonyesha kwenye uongozi wake tangu akiwa kada UVCCM,DC,RC) atoke hadharani aitishe press conference pale ofcn kwake ili kukata mzizi wa fitina. Kama RC aliweza kusimamia issue ya scorpion na akaita press conference pale ofcn wake, hebu abebe ujasiri wa kumaliza hili jambo. Hakika anamweka Mh.Raisi katika wakati mgumu machoni pa Watanzania,kwamba amesimamia zoezi la watumishi hewa na wale wasio na sifa za vyeti kwenye ajira walizo kuwa nazo. Wote walishugulikiwa kufuatana na sheria za nchi. Sasa kijana wangu RC Makonda Kata mzizi huu wa hizi hadithi kwa kuwa mwenye ukweli ni wewe
Lemutuz si katika kila jambo unatakiwa kuonyesha unaegemea wapi ? Mwache RC Makonda ajibu tuhuma hizi yeye binafsi, itakuwa ni akili ya pariiparii wewe kujigeuza kuwa mtetezi wa Makonda kwenye issue sensitive kama hii.Hivi ikitokea mtu akagundua mmoja wa wafanyakazi katika ofc yenu ana vyeti vya kugushi, unataka kuniaminisha kwamba itabidi unyamaze kwa kuwa mwajiri wake ambaye hana taarifa, ndiye muhusika mkuu. Plz jiongeze walau kwa centimeter
Watu washamshtukia ndiyo maana hatamki tena neno hili"Msema kweli ni mpenzi wa mungu"
Hili neno siku hizi naona kama limefutika kwa yule mtu
Mkuu unakosea jina huyu anaitwa Daud Albert Bashite sio Paul MakondaLemutuz si katika kila jambo unatakiwa kuonyesha unaegemea wapi ? Mwache RC Makonda ajibu tuhuma hizi yeye binafsi, itakuwa ni akili ya pariiparii wewe kujigeuza kuwa mtetezi wa Makonda kwenye issue sensitive kama hii.Hivi ikitokea mtu akagundua mmoja wa wafanyakazi katika ofc yenu ana vyeti vya kugushi, unataka kuniaminisha kwamba itabidi unyamaze kwa kuwa mwajiri wake ambaye hana taarifa, ndiye muhusika mkuu. Plz jiongeze walau kwa centimeter
Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Usiangaike sana huyu bwana hawahi kusoma kisato cha NNE na kama cheti cha kwake na kina division 1 kwa anavyopenda masifa angemtuma MTU wake akilete studio au akionyeshe kwenye mitandao tumuone jpm kama ni mpenzi wa mungu,amewahenyesha watumishi wa uma kwenye uhakiki kumbe kaweka wakuu wa mikoa walooiba vyeti vya wengineImetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Mkuu unakosea jina huyu anaitwa Daud Albert Bashite sio Paul Makonda
Hivi watu wa design yako huwa mnajiuliza kwamba kuna siku watu mnaowalamba viatu hawatokua kwenye system?- Halafu it is about time mkubaliane mashitaka yenu dhidi ya RC, anaitwa Daudi au alinunua jina la Christian Paul Chagueni moja cuase mnatuchanganya
le Mutuz
- Angeenda ningemshangaa Rais wa Mkoa wa Wananchi Millioni 8 aache kazi za Wananchi wote hao kwenda kujibu wajinga wachache kwenye Social Media wanao ongozwa na watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya? Duh sasa itakuwa Serikali au kusadikika hiyo yaani Social Media wakidai tu Kiongozi wa Taifa aache kazi na kwenda kujibu, kha!
le Mutuz
- Halafu it is about time mkubaliane mashitaka yenu dhidi ya RC, anaitwa Daudi au alinunua jina la Christian Paul Chagueni moja cuase mnatuchanganya
le Mutuz
Kama kuna mtu anaitwa kinje- Angeenda ningemshangaa Rais wa Mkoa wa Wananchi Millioni 8 aache kazi za Wananchi wote hao kwenda kujibu wajinga wachache kwenye Social Media wanao ongozwa na watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya? Duh sasa itakuwa Serikali au kusadikika hiyo yaani Social Media wakidai tu Kiongozi wa Taifa aache kazi na kwenda kujibu, kha!
le Mutuz
New news, mke wa boss alipata zero, weka ushahidi. Basi NECTA watoe ushahidi huo and the game is over!Kwani NECTA hakuna watu wakuleta uthibitisho wa division zero ya Makonda? Mbona za mke wa Magufuli walileta.
Hapo penye nyekundu: Haya ni mahaba tu hakuna Raisi wa mkoa wala Wilaya etc. Bahati mbaya wengine wakipakwa mafuta haya hujisahau wakadhani kweli wao ni maraisi ka JPM. Hii sio dhana ya kuendekeza.- Angeenda ningemshangaa Rais wa Mkoa wa Wananchi Millioni 8 aache kazi za Wananchi wote hao kwenda kujibu wajinga wachache kwenye Social Media wanao ongozwa na watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya? Duh sasa itakuwa Serikali au kusadikika hiyo yaani Social Media wakidai tu Kiongozi wa Taifa aache kazi na kwenda kujibu, kha!
le Mutuz
Hivi watu wa design yako huwa mnajiuliza kwamba kuna siku watu mnaowalamba viatu hawatokua kwenye system?
Unatakiwa umshangae kwanza huyo Mkuu wako aliyejikoki kuwa anaenda.- Angeenda ningemshangaa Rais wa Mkoa wa Wananchi Millioni 8 aache kazi za Wananchi wote hao kwenda kujibu wajinga wachache kwenye Social Media wanao ongozwa na watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya? Duh sasa itakuwa Serikali au kusadikika hiyo yaani Social Media wakidai tu Kiongozi wa Taifa aache kazi na kwenda kujibu, kha!
le Mutuz
- Sasa umeshawahi kujiuliza mtu kama wewe unayewalamba maadui wa Viongozi wa Serikali nini hatma yako?
le Mutuz
Especially kama anathubutu kufanya kazi anayo ifanya kwa ajili ya vizazi vyetu...eh Mola mlinde Paul Daudi kwa kifupi RC wetu na mjalie baraka zote!Kama cheti siyo chake basi ni kinyume cha maadili katika tasnia ya taaluma. Ila siyo lazima kutumbuliwa kwa kuwa anachapa kazi sana