Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

asa kama ana cheti chakwake hakina ujanja si aweke hadharan kwan nn bana mbna wengine hata ukitaka mda wowote tunaojiamin na vyeti vyetu tunaweka tu.yy kama anacho mali yake aweke mambo hadharan ujanja ujanja hakuna tena
Ningekuwa mimi ningekitoa kupitia magazeti tena kwa kujiamini sabb najua ni changu
 
asa kama ana cheti chakwake hakina ujanja si aweke hadharan kwan nn bana mbna wengine hata ukitaka mda wowote tunaojiamin na vyeti vyetu tunaweka tu.yy kama anacho mali yake aweke mambo hadharan ujanja ujanja hakuna tena

Kwa kitu gani cha maana aweke mtandaoni. Atakuwa mjinga sana kama atafanya kazi kwa uzushi,ufitini, na upumbavu unaofanywa kwenye mitandao
 
Kwa kitu gani cha maana aweke mtandaoni. Atakuwa mjinga sana kama atafanya kazi kwa uzushi,ufitini, na upumbavu unaofanywa kwenye mitandao
kwan kwenye redio clouds alitaka kwenda kufanya nn?sialitaka kweda kijisafisha na skendo?aweke awafunge mdomo na navomjua angekua ashakiweka
 
Mamlaka za juu zitakapothibitisha kuwa Daudi Bashite anatumia cheti kisicho chake na kelele mtaani zimezagaa hapo ndipo itatokea ishu kama ya Kitwanga jinsi ya kumtoa Daud Bashite kwenye system kuweni makini kwani atalazimishwa kufanya jambo ili aonekane ameikosea jamii anayoiongoza kisha ndipo aachishwe kaz ikijitokeza ya hivyo rudini kwenye mstar muangalie kwa undani kwani naamin hakuna kiongoz atakaetolewa kwa kashfa ya cheti.
 
Haya mambo ni magumu! Sidhani kama amesingiziwa. Haya yalikuwa yanafanyika sana tena sana. Makonda kijana wa juzi taarifa zake zipo NECTA, it is easy to trace!
Tatizo ni hai wanaojiita waandishi wa habari za kiuchunguzi...wanamuuliza Makonda mwenyewe eti.Unashindwa nini wewe kama mwandishi wa habari kufatilia kote makonda alipopita kuanzia jina la ukoo wao,shule ya msingi,sekondari hadi chuo.TSM9 yake alipojiunga form one ina jina gani?Cheti chake cha kidato cha nne kina jina linalofanana na jina la kwenye TSM9?

Kama hayafanani nini kilitokea.Je kuna mtu mwingine anaitwa hilo jina la kwrnye cheti chake cha form four exactly?
 
kwan kwenye redio clouds alitaka kwenda kufanya nn?sialitaka kweda kijisafisha na skendo?aweke awafunge mdomo na navomjua angekua ashakiweka
Wewe ndiye ulimwita clouds na kumpa hadidu za rejea za mahojiano. Chuki binafsi zitawamaliza, utafikiri wake wenza. !!!!!!!!!!!!!!
 
Wewe ndiye ulimwita clouds na kumpa hadidu za rejea za mahojiano. Chuki binafsi zitawamaliza, utafikiri wake wenza. !!!!!!!!!!!!!!
hahaa usipanic ww alaa mbona ishu zote wanafnya na media afanye tu na hili awaite waandushi pia aoneshe cheti
 
Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.

My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Maandiko matakatifu yanasema kwamba , nanukuu , " SIKU YA MWISHO KILA GOTI LITAPIGWA "
 
The one and only??? Paul christian makonda? Or david albert bashite?? Shame on him
Shame on you and good bye.,,sina muda nawe maana una ni kera.,,time ya mapesa sasa..endelea kukaa kijiweni.,have a nice life! Naku ignore! Usihangaike kunijibu!
 
Shame on you and good bye.,,sina muda nawe maana una ni kera.,,time ya mapesa sasa..endelea kukaa kijiweni.,have a nice life! Naku ignore! Usihangaike kunijibu!
Lazima ukimbie ukweli kam ndugu yako konda anavokimbia kusema ukweli.... Pole lakin. Tunabadilishana mawazo tu umu no ugomvi. Good bye too
 
Back
Top Bottom