Paul Makonda aita press conference kujisafisha

Paul Makonda aita press conference kujisafisha

Mwandishi wa habari atakayekwenda atakuwa ni chizi utaendaje kumsikiliza mtu ambaye ni kama gaidi
anyezuia watu kupata ukweli? makonda na jaji warioba nani anaijua ccm vizuri?
 
mkuu Kibo10 kwann tusiende huko kwenye press yake tukamkate kichwa tu historia yake ibadilike???

Nina hasira mpaka natetemeka,,,,
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa



Mbona kuna habari humu ww ndio uliye tandikwa?
 
Una ushahidi kuwa Makonda kampiga Warioba? Kama unampenda huyo babu wako si ungeenda jana kumlinda na kumtetea? Umejaa unafiki tu na ufedhuli kama dada changu. Haya ndo madhara ya kutumika. Yaani hadi unatia huruma. Utatumika wee
mwisho wa siku unatupwa jalalani
Mbona unatokwa na povu sana wewe gamba mchumia tumbo,unamtetea makonda as if ni mume wako,au ni mime wako!!be a man jenga hoja sio kukejeliana hapa.
Haya wewe unae tumika kwa makonda mwisho wa siku utatupwa wapi? visionless less chap kazi kupiga makelele tuu.
Ok mdomo ni mali yako keep on yapping mwisho wa siku unarudi kula ugali wa shikamoo,mwenzako makonda ana m 50za Bmk wewe una ngapi paka shume,acha zako wewe mchumia tumbo,utaolewa kijana.
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

Hawana ushahidi mkuu,,wanapiga porojo tu humu...!
 
sasa naanza kupata picha,kwa nini Dr Mvungi aliuawa,RIP Dr Mvungi
 
Hivi zile vurugu ziliandaliwa ili kumchafua Makondan nini? Bora kijana mtetezi wa vijana maskini aweke mambo hadharani.
teh teh, lini aliwatetea vijana masikini? Makonda hana utetezi wowote ndani ya nchi hii zaidi ya kutumikia tumbo lake tu.
 
Mkuu, kwani na wewe unaungana na kibo10?

Toa Hiyo Picha Ya Kagame Na Baki Na Huyo Mwingine Unayefanana Nae Kiakili Kwa USWAHILI. Kumweka Hapo Kagame Na Huyo Mwingine Ni Sawa Na Kufananisha Chuo Kikuu Cha Havard Na Chuo Kikuu Cha Teofil Kisanji Nikimaanisha Kagame Ni Sawa Na Havard Na Kwingineko Utamalizia Mwenyewe!
 
Una ushahidi kuwa Makonda kampiga Warioba? Kama unampenda huyo babu wako si ungeenda jana kumlinda na kumtetea? Umejaa unafiki tu na ufedhuli kama dada changu. Haya ndo madhara ya kutumika. Yaani hadi unatia huruma. Utatumika wee mwisho wa siku unatupwa jalalani

Huna Tofauti Sana Na Toilet Paper Niliyotoka Kuitumia Muda Si Mrefu.
 
Huyu makonda asifike kabisa huku maeneo yetu raia wanavyomtamani.
 
Leo simwoni Chabruma sijui kapotelea wapi maana siyo kawaida yake,au kazidiwa na hang over nini?
 
Naomba mwenye ile picha ya kijana wa Chadema kwenye mdahalo akimtimba mateke msichana aiweke hapa tafadhali maana ndiye aliyeanzisha fujo

aliyeanzisha fujo anafahamika, walioandaliwa kwa kunyanyua mabango wapo na wanadunda tu, hakuna kisichofahamika mkuu..
 
Naomba mwenye ile picha ya kijana wa Chadema kwenye mdahalo akimtimba mateke msichana aiweke hapa tafadhali maana ndiye aliyeanzisha fujo

Kawaulize SSIT na MCC Na SIRIKALI Yao Kwani Ndiyo 100% Wamehusika.
 
Hata mimi nimemsikia asubuhi akihojiwa clouds FM, PB kuwa ameitisha press conference ili aweze kuzungumza kilichotokea.

Clouds kama kawaida yao naona wamempa airtime Makonda ili ajitetee mbele za watu.

Akiendelea tena apigwe tu anatuwangia tu huyu mzee kweli ukiwa mnafiki ujanani, uzeeni unakuwa mwanga na hili warioba ametuthibitishia
 
Mkuu Ocampo hebu ni pm namba yako ya simu nikutumie mpesa kidogo! Kweli ulimtandika huyu jamaa? Mngekuwa kumi tuu kama wewe walah nakuambia leo tungekuwa tunaanda mazishi ya kijana mjinga wa nchi hii.
NB: Usinitumie namba maana siwezi kukutumia mpesa maana sijasikia Makonda kalazwa hospitali yeyote hapa mjini.
tangu jana nimenuna tu ila leo nimevunja mbavu,
 
Km Mungu yupo na anachapa kazi wacha tuone hatima ya Makonda. Mungu awashughulikie wote waliopanga, kuratibu na kutekeleza uhuni huu. Mungu umpe mzee wetu Waroba maisha marefu, muepushe na ccm ambao wamepanga kumuangamiza Amina.
 
Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa

Ocampo Four Heko Na Vizuri Sana! Tunahitaji Vijana Kama Wewe Wenye Uchungu wa UPUUZI na UKATILI Kama Uliofanywa Jana Kwa Wazee Wetu. Hongereni Nyote Mliompiga PM ila Mmeniuzi Hamkumuua Kabisa, Kwanini?????????????
 
Back
Top Bottom