Salaam!
Wakuu kuna tetesi zimeanza kuenea kuwa leo Paul makonda anataka kufanya press Conference ili kujisafisha na tuhuma nzito zinazomkabili kuhusu kumpiga mzee wetu waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba,Hii ni dharau kwa taifa na watu wake tuhamasishane kupitia hapa na kuwaomba wahariri wote wagomee kwenda kumsikiliza huyu bwana mdogo kama tetesi hizi zitakuwa na ukweli ndani yake.
Nawasilisha!
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
Kwani hiyo midahalo ina umuhimu gani zaidi ya kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani?
Mkuu, kwani na wewe unaungana na kibo10?
Hata mimi nimemsikia asubuhi akihojiwa clouds FM, PB kuwa ameitisha press conference ili aweze kuzungumza kilichotokea.
Clouds kama kawaida yao naona wamempa airtime Makonda ili ajitetee mbele za watu.
Huko mahakamani atampeleka nani na kwa ushahidi gani?
Najaribu kutafuta link kati ya hizi picha mbili sipati. Moja ya jana 2014 na ya pili ni ya July 2012.
Kuna mtu yoyote mwenye maelezo yakinifu juu ya haya?
View attachment 198730View attachment 198731
Bahati mbaya nilikuwa kwenye usafiri sikuweza kurekodi audio.Labda ungeweka hicho kipande cha audio ya Clouds Fm asubuhi kwenye PB ndio kidogo tunaweza kuelewana.
haa haa ndo mlivyoelekezana huko lumumba? Makonda kuanzia sasa awe makini, wazalendo wa taifa hili bila kujali vyama tutamshughulikia tu, haiwezekani waziri mkuu mstaafu akadhalilishwa na wahuni wachache hivihivi tunaona!Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
vyombo vinavyotakiwa pale ni uhuru, tbccm, na clouds fm mwisho.gazeti la mbowe hatulitaki pale Tanzania daima
hicho huwezi kuonyeshwa kwa sababu wanajua walichofanya ni uhuni kabisa!Mbona sijaona alichofanya Makonda kwenye vurugu zile, mbona anaongelewa sana humu?
nchi hii imesajili chama cha chadema cha ushakunaku pamoja na wafuasi wake unamkuta kijana anasema yeye chadema wakati suruari kavaa matakoni kata K