Uko sahihi kabisa Makonda siyo level yangu, kwani hata kidogo siwezi kuwa mjinga na mpu..mbavu na kufanya kitendo alichofanya, hata mtu aliye mirembe awezi kufanya alichofanya bwana Daudi Makonda ni mtu mjinga, muhuni na m.p.mbavu tu ndiyo anaweza kufanya what he didSina jazba na wala sina hasira. Ni ekuambia ukweli. Paul Makonda level yake ni na Mwenye Mbwa. Si wewe mbwa
Mpwa umeongea Point sana leo kwa mara ya kwanza tangu umeoa, MUNGU akubariki japo hukunialika kwenye ndoa. Paul alianza kumtusi huyu mzee kule bungeni bado hajaridhika katoka kamfuata huku nako. Kweli paul hana busara na kama kweli ana wazazi basi watamkemea kwenye hiliilioni 50 ya posho, inamsumbua Paul C. Makonda. Unayecheza naye ni jaji mstaafu. Akija kuangalia vifungu, unaweza kujikuta pesa yote, unaimalizia kwa kesi, na baadaye unakwenda kunya kwenye ndoo huko jela.
Huko mahakamani atampeleka nani na kwa ushahidi gani?
Huyo makonda si yuko humu mbona toka jana amekuwa mpole maana huwa ni mwepesi sana wa kukimbilia humu jf kutoa ufafanuzi.
Makonda aliwezaje kumfikia Warioba ili amuokoe? Alisukumwa na HURUMA ipi ilhali majuzi alimkashifu sana? Kwa kanuni za kiusalama hata kama hujapita JKT mtoto makonda yuko matatizoni! hata kama si leo.Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa
Sijasema naungana naye na maneno yangu sio sheria, mimi nimechukizwa sana kwa kitendo cha Clouds FM kupitia power breakfast kumsafisha Makonda.Huku ni kujipendekeza kusiko na maana.
Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa
Tv ime record ndo ushahidi tosha
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
ilioni 50 ya posho, inamsumbua Paul C. Makonda. Unayecheza naye ni jaji mstaafu. Akija kuangalia vifungu, unaweza kujikuta pesa yote, unaimalizia kwa kesi, na baadaye unakwenda kunya kwenye ndoo huko jela.
Mzazi wake ni 6 alimuadopt. Siku hizi kwa kuhofia siasa chafu viongozi wanaadopt watoto ili wawatumie siasani na wana wao wa kuwazaa wanawaweka mbali na siasa. Walijifunza kwa Tingatinga!Mpwa umeongea Point sana leo kwa mara ya kwanza tangu umeoa, MUNGU akubariki japo hukunialika kwenye ndoa. Paul alianza kumtusi huyu mzee kule bungeni bado hajaridhika katoka kamfuata huku nako. Kweli paul hana busara na kama kweli ana wazazi basi watamkemea kwenye hili
Acha ujinga wewe. Kuna ushahidi gani wa tuhuma hizo. Kijana jiangalie sana. Kuzaliwa kwako kwenye ukoo wa mafisadi kusikufanye ushindwe kutumia akili