Emanuel Urassa
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 302
- 113
Akiendelea tena apigwe tu anatuwangia tu huyu mzee kweli ukiwa mnafiki ujanani, uzeeni unakuwa mwanga na hili warioba ametuthibitishia
Utakufa wewe kabla yake.
Akiendelea tena apigwe tu anatuwangia tu huyu mzee kweli ukiwa mnafiki ujanani, uzeeni unakuwa mwanga na hili warioba ametuthibitishia
Una ushahidi kuwa Makonda kampiga Warioba? Kama unampenda huyo babu wako si ungeenda jana kumlinda na kumtetea? Umejaa unafiki tu na ufedhuli kama dada changu. Haya ndo madhara ya kutumika. Yaani hadi unatia huruma. Utatumika wee mwisho wa siku unatupwa jalalani
Naona watu wengine sasa mnatafuta sifa humu kuwa mmeonana uso kwa uso na mh. Makonda.
Asante sana, Umefanya jambo la maana mno. Alistahili kitofali kama kibaka huyo. Mimi najiandaa kwenda Tanga kumtoa Busha, MANI na zumbemkuu kumbe kuna kazi nzuri ilifanyika jana, mimi sikua na taarifa nayo hii. Safi sanaNilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa
Uko sahihi kabisa Makonda siyo level yangu, kwani hata kidogo siwezi kuwa mjinga na mpu..mbavu na kufanya kitendo alichofanya, hata mtu aliye mirembe awezi kufanya alichofanya bwana Daudi Makonda ni mtu mjinga, muhuni na m.p.mbavu tu ndiyo anaweza kufanya what he did
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
Haya yoye yana muda na ukweli ni kwamba kuna watu 'wana hasira' na Jaji Warioba kana kwamba anachosema ni mawazo yake.sasa naanza kupata picha,kwa nini Dr Mvungi aliuawa,RIP Dr Mvungi
Acha ujinga wewe. Kuna ushahidi gani wa tuhuma hizo. Kijana jiangalie sana. Kuzaliwa kwako kwenye ukoo wa mafisadi kusikufanye ushindwe kutumia akili
Hata mimi nimemsikia asubuhi akihojiwa clouds FM, PB kuwa ameitisha press conference ili aweze kuzungumza kilichotokea.
Clouds kama kawaida yao naona wamempa airtime Makonda ili ajitetee mbele za watu.
Nitawadharau sana Waandishi watakaokwenda kumsikiliza huyu Nyang'au asiye na adabu kana kwamba kazaliwa na nguruwe na si binadamu
Mtu mwenye akiri timamu huwezi kumshambulia mtu ambaye si tu kwamba hata babayako hana thamani aliyowahi kuwa na ambayo Warioba anayo ndani ya Taifa hili ati kwa kisingizio cha siasa na kwakuwa Warioba hayuko kwenye Power kwa wakati huu. Vyeo na Madaraka havitafutwi kwa mtindo huo, hata kina-Nchemba ambao ni mawaziri leo alipata chei baada ya kuwashambulia watu ambao hawakuwahi kushika nyadhifa yoyote Serikalini bali wanatishia nafasi za Mafisadi walioko Madarakani. Wewe unamshambulia mtu ambaye kawahi kuwa Waziri Mkuu....PRIME MINISTER????? Waziri wa Sheria na mavyeo mengine kadha wa kadha.!!
Na mpaka leo ni balozi wa nyumba kumi wa chama chako mwenyewe huko Msasani?? Umepata wapi jeuri hiyo we makonda?? Hata hayawani mwenye kutembea uchi na "kifilimbi" chake mitaani hawezi kufanya IUshetani ulioufanya wewe kimburukutu.. hiii ni aibu kwa chama chako, Mama yako,Baba yako na wote wanaokuunga mkono ikiwamo na wale waliokutuma na kukupa sapoti.. Hutuwezi kununua such a Rubbish you want to puts on our head via Journalist...!!!
Upumbavu wapelekee waliokulea... na ni bora wangelea panya au Nguruwe kuliko shetani kama wewe, Si ajabu ukageuka na kuwadhuru hata hao waliokulea kwa kuahidiwa cheo..!!!!
Jinga sana Paul Makonda!!
BACK TANGANYIKA
wewe mwenyewe ndo Paulo, umejisajili kwa majina tofautitofauti, watu wameishakugundua! unampiga mzee wa watu halafu unatafuta namna ya kujinasua? utapigwa na laana tu!Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
Paul Makonda kwani alimpiga Mzee Warioba??
Hivi Mzee Warioba hana walinzi???
sasa naanza kupata picha,kwa nini Dr Mvungi aliuawa,RIP Dr Mvungi
Salaam!
Wakuu kuna tetesi zimeanza kuenea kuwa leo Paul makonda anataka kufanya press Conference ili kujisafisha na tuhuma nzito zinazomkabili kuhusu kumpiga mzee wetu waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba,Hii ni dharau kwa taifa na watu wake tuhamasishane kupitia hapa na kuwaomba wahariri wote wagomee kwenda kumsikiliza huyu bwana mdogo kama tetesi hizi zitakuwa na ukweli ndani yake.
Nawasilisha!
Anachafuliwa au ujinga wake na u.p.mbavu wake ndiyo unamchafua, kama ana akili timamu atawezaje kumpiga mzee kama Warioba......imeandikwa kwewnye biblia, yoyote yule ampigaye babayake atalaaniwa milele....