Paul Makonda aita press conference kujisafisha

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Salaam.

Wakuu kuna tetesi zimeanza kuenea kuwa leo Paul makonda anataka kufanya press Conference ili kujisafisha na tuhuma nzito zinazomkabili kuhusu kumpiga mzee wetu waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba.

Hii ni dharau kwa taifa na watu wake tuhamasishane kupitia hapa na kuwaomba wahariri wote wagomee kwenda kumsikiliza huyu bwana mdogo kama tetesi hizi zitakuwa na ukweli ndani yake.
Nawasilisha.
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
 
Hata mimi nimemsikia asubuhi akihojiwa clouds FM, PB kuwa ameitisha press conference ili aweze kuzungumza kilichotokea.

Clouds kama kawaida yao naona wamempa airtime Makonda ili ajitetee mbele za watu.
 
Anachafuliwa au ujinga wake na u.p.mbavu wake ndiyo unamchafua, kama ana akili timamu atawezaje kumpiga mzee kama Warioba......imeandikwa kwewnye biblia, yoyote yule ampigaye babayake atalaaniwa milele....
 
Mkuu, kwani na wewe unaungana na kibo10?
 
Anachafuliwa au ujinga wake na u.p.mbavu wake ndiyo unamchafua, kama ana akili timamu atawezaje kumpiga mzee kama Warioba......imeandikwa kwewnye biblia, yoyote yule ampigaye babayake atalaaniwa milele....
Una ushahidi kuwa Makonda kampiga Warioba? Kama unampenda huyo babu wako si ungeenda jana kumlinda na kumtetea? Umejaa unafiki tu na ufedhuli kama dada changu. Haya ndo madhara ya kutumika. Yaani hadi unatia huruma. Utatumika wee mwisho wa siku unatupwa jalalani
 
Hivi zile vurugu ziliandaliwa ili kumchafua Makondan nini? Bora kijana mtetezi wa vijana maskini aweke mambo hadharani.
 
Hata mimi nimemsikia asubuhi akihojiwa clouds FM, PB kuwa ameitisha press conference ili aweze kuzungumza kilichotokea.

Clouds kama kawaida yao naona wamempa airtime Makonda ili ajitetee mbele za watu.
Hata akijitetea hawezi kuharibu ushahidi na hata nafsi yake inamsuta, mtoto kakosa nidhamu, mjinga na m.p.mbavu sana
 
Naomba mwenye ile picha ya kijana wa Chadema kwenye mdahalo akimtimba mateke msichana aiweke hapa tafadhali maana ndiye aliyeanzisha fujo

Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

Anaweza kuwa amliratibu mpango mzima, halafu akazuga kwenda kuokoa, Hata hivyo, kwa nini alienda kwenye mkutano ambao anafahamu ambao anajua kinachoongelewa kinamchefua.
 
Ata kama akuna ushadi lazima.ahojiwe ili polis wajiridhishe kama kweli akutenda kosa
 
Una ushahidi kuwa Makonda kampiga Warioba? Kama unampenda huyo babu wako si ungeenda jana kumlinda na kumtetea? Umejaa unafiki tu na ufedhuli kama dada changu. Haya ndo madhara ya kutumika. Yaani hadi unatia huruma. Utatumika wee mwisho wa siku unatupwa jalalani
Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

nchi hii imesajili chama cha chadema cha ushakunaku pamoja na wafuasi wake unamkuta kijana anasema yeye chadema wakati suruari kavaa matakoni kata K
 
Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa
Naona watu wengine sasa mnatafuta sifa humu kuwa mmeonana uso kwa uso na mh. Makonda.
 
Watatangaza leo midahalo imefutwa
Na wala sintoshangaa maana tushazoea ubabe wa kijinga
 
Salaam!
Wakuu kuna tetesi zimeanza kuenea kuwa leo Paul makonda anataka kufanya press Conference ili kujisafisha na tuhuma nzito zinazomkabili kuhusu kumpiga mzee wetu waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba,Hii ni dharau kwa taifa na watu wake tuhamasishane kupitia hapa na kuwaomba wahariri wote wagomee kwenda kumsikiliza huyu bwana mdogo kama tetesi hizi zitakuwa na ukweli ndani yake.
Nawasilisha!

uhuru mzalendo wataenda
 
Back
Top Bottom