minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,421
- 22,433
Makonda wewe sasa unajiona ni Mjanja kumbe ni bonge la Mshongoshi kinoma ,watu wanakuangalia kwa makini ,wewe shinda kwa sangoma wee lakini mwisho wa siku kichapo juu yako kipo pale pale hauwezi kumdhalilisha Mzee wetu watu wakuache hivi hivi tu ! Ukiona Kiimya usidhani wamekusahau kwani kitendo ulichokifanya hakisameheki kamwe hata ukiomba Radhi watu watakusamehe kizushi tu.