Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Acha kujipa sifa ambazo hazipo. Laana ya kutumikia mafisadi inakuandama.Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa