Pasco wa JF aje Hapa!

Pasco wa JF aje Hapa!

Habari yake bana shem,
Kwani siku hizi umehama kambi hadi ujitoe na kusema chadema leo wana raha sana, kwani wewe si mmoja wao?:nono:
Mwita kuna watu hili jukwaa huwa hawaonekani (mi nikiwa mmoja wao) ila leo wamejaa humu mbaya
Kuna Konnie, Asprin, DA yaani leo wako jukwaa la stress sijui kwa sababu ya ushindi wa chama kubwa
 
Watu wa aina hii ni wanasiasa in the making na wengine tayari ni wanasiasa sema tu majukumu ya MMU yamewazidia.

Sasa kwa siku ya leo wote kuhamia huku kwenye jukwaa la full stress, ni sawa na sikukuu za pasaka ama krismas, wakristo na waislamu wote kwa pamoja wanajumuika kusherekea!!

Kwahiyo tunawakaribisha hapa mara nyingi kadri mtakavyoweza, msitukimbie baada ya kumalizika sherehe za ushindi.
 
Naona unaorodhesha wakazi wa chit chat kufika huku leo!!
 
Watu wa aina hii ni wanasiasa in the making na wengine tayari ni wanasiasa sema tu majukumu ya MMU yamewazidia.

Sasa kwa siku ya leo wote kuhamia huku kwenye jukwaa la full stress, ni sawa na sikukuu za pasaka ama krismas, wakristo na waislamu wote kwa pamoja wanajumuika kusherekea!!

Kwahiyo tunawakaribisha hapa mara nyingi kadri mtakavyoweza, msitukimbie baada ya kumalizika sherehe za ushindi.

Kweli kabisa aise
Wacha tuungane kumpongeza kijana wetu Joshua (oohhh nimesahau Mheshimiwa Joshua) kuwa mbunge mteuliwa. Ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa kijena mwetu ametoa na amefanya kile ambacho wengi hawakutarajia
Akina Rejao na wenzake wanasema ushindi kiduchu sasa sijui ushindi kiduchu ni upi wakati mwenzano mmoja walimtangaza kwa fotauti ya kura moja
Hongera Mheshimiwa Joshua

Narudi home kwetu mkuu.....

Tulikuja huku kushangilia harusi

Kuna mtu ambae haoi ameolewa Arumeru. Sherehe si ni kitengo cha MMU?

Mkuu wote leo tumeweka kambi humu
Ila naomba niwaambie tunahitajika sana kutoa elimu ya uraia kwa watu wetu
Waelewe nini maana ya kupiga kura na kupigiwa kura
Waelewe haki zao na wajue namna ya kuzitafuta
pale wanaoponyimwa wajue namna ya kuzidai na wazipiganie popote
Hii ni haki ya kila raia na lazima ipatiokane kwa namna yoyote

This was a family matter.
Na familia hii huwa na ushirikiano kama siafu.

Asante sana Konnie
Nimeona ushirikiano wa wana JF katika hili
Tumepambana kama familia na tunahitaji kushikamana zaidi katika kuhakikisha kuwa ukombozi unapatikana kwa njia yoyote
 
Kweli kabisa aise
Wacha tuungane kumpongeza kijana wetu Joshua (oohhh nimesahau Mheshimiwa Joshua) kuwa mbunge mteuliwa. Ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa kijena mwetu ametoa na amefanya kile ambacho wengi hawakutarajia
Akina Rejao na wenzake wanasema ushindi kiduchu sasa sijui ushindi kiduchu ni upi wakati mwenzano mmoja walimtangaza kwa fotauti ya kura moja
Hongera Mheshimiwa Joshua

Hayo maneno "mbofumbofu" ya akina rejao ni katika kulazimisha kujifariji tu, ushindi kiduchu tofauti ya kura zaidi ya 6000 na wakati huo ccm walikuwa wamehamishia benki kuu jimbo la arumeru mashariki!!

Asante sana Konnie
Nimeona ushirikiano wa wana JF katika hili
Tumepambana kama familia na tunahitaji kushikamana zaidi katika kuhakikisha kuwa ukombozi unapatikana kwa njia yoyote

Heee! kumbe Kongosho ndiye Konnie!?

Hiri ri mainemu ra Konnie rimempendeza sana.

Harooo Konnie!!
 
Utanikuta mimi huko...mwambie na Ribosome naye tukutane huko tuendeleze libeneke!

Riwa umemkata maini Ritz,
Wanadhani jukwaa la JF Doctors hakuna wanasiasa ama wapenda mageuzi eehh!!? Siku watakapogundua kwamba hata Dr. Ulimboka naye yupo kule hawataamini macho yao!!
 
1.jpg
 
Msinisahau kwenye ufalme wenu.

Niko kwa Dar Exoress nakuja kujumuika nanyi.
rafiki ukisikia watu wanaongelea kinywaji tu hali inakuwa tete...................... hadi unakipandia dar express! kaaazi kweli.
hapa kuna wat(f)u wanatafutwa, sijui umewaona huko? au mnapishana kwenye dar express. lol!
 
Back
Top Bottom