bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,886
Kheeee Mwita ni daddy ako?Nafuata nyato zako dad.
Kheeee Mwita ni daddy ako?Nafuata nyato zako dad.
Pasco bado hajapatikana, tunamsubiri bado!..Hivi mlifanikiwa kumpata Pasco wa JF? Ama alishajinyonga?
Sweetlady na wewe hizi furaha usije ukamdanganya mdogo wetu kuwa uko single, manake yeye hajaoa hata chuo kimoja na wewe saa hizi una phd!:bounce::bounce:
Kheeee Mwita ni daddy ako?
Kheeee Mwita ni daddy ako?
Aisee rafiki wa kweli mbona hujaniambiaga?Yes my dear.H r u?Hongera kwa ushindi.
Hongere sana mkubwa...umelea binti akaleleka!Ulikuwa hujui?
Habari ndio hiyo! Mtoto wa baba huyo!!
Hahahaha! PJ namwacha, nakuja peke angu lol...Hakikisha huji na PakaJ.
Jamaa kabaila sana yule. Atatuharibia sherehe yetu ndani ya chopa.:A S shade:
Hongere sana mkubwa...umelea binti akaleleka!
Santeeee, Nimemlea kwa msaada wa Mnyazi Mungu.
Hata huyo wa kwako kama anakupa tabu kidogo, mlete pande za huku nitakusaidia kulea!!
Huyu wetu yuko kwenye mikono salama kabisa, na hakuna salama zaidi ya hapo.
Kwanza wee lini uliona tembo kazidiwa uzito na meno yake bana?
Au ndo alikuwa anatumia ile ID ya Chatu dume? Mzembe aliahidi atajinyonga Chama Cha Mipasho kisiposhinda....Kupotea ghafla kwa Rejao majamvini kwaanza kuzua utata mkubwa!...
Pasco ni mjamaa mmoja hivi anapenda sana bahasha za khaki.....unamjua?Who is pasco? Mnapoteza muda wenu
Daaah, sikuwahi kumdhania chatu dume yuko kwenye chama cha mipasho/matusi...kumbe nae ni wale wale?Au ndo alikuwa anatumia ile ID ya Chatu dume? Mzembe aliahidi atajinyonga Chama Cha Mipasho kisiposhinda....
Ni kweli ila ukizungumzia waungwana Pasco mtoe huko manake hana sifa za uungwana.Pasco Muungwana ni Vitendo Jitokeze