Pasco wa JF aje Hapa!

Pasco wa JF aje Hapa!

Pasco ni mfuata upepo na hana msimamo.....
 
Dah alitia huruma sana wakati mshindi katangazwa
Hakujua kucheza karata zake
Ndo kaolewa kisiasa tena
Sidhani kama atataka kushiriki hii mambo asilani.

Hehehe Siyoi kaolewa.....

Hivi kinyume cha sioi ni naoa.
Kwahiyo mtu ambaye haoi ni kwamba hana uwezo wa kuoa ila anao wa kuolewa.
Hii inamaanisha kama haoi basi anaolewa.

Ngoja niishie hapa.
Kuna mtu kaolewa Arumeru.
 
Hivi mlifanikiwa kumpata Pasco wa JF? Ama alishajinyonga?
Sweetlady na wewe hizi furaha usije ukamdanganya mdogo wetu kuwa uko single, manake yeye hajaoa hata chuo kimoja na wewe saa hizi una phd!:bounce::bounce:
 
Pasco anaudhi maana anaongea kwa uhakika sana vitu ambavyo havielewi, wala hana uhakika navyo!
Naomba aje kuthibitisha au kufuta kauli yake kwamba Sioi alishinda tokea siku alipothibitishwa!...
Pascoo, too boring you hypocrite!

PJ,

Ningependa nikukumbushe tena (najua umeshaambiwa na wengine, ama unatambua hili) kwamba Pasco ni Pro Lowahasa wa JF.
Kwakuwa Sioyi kaoa kwa Lowahasa, by default Pasco anakuwa ni follower wa Sioyi!! Kwahiyo alichokifanya ni haki yake ya kuutetea ukoo wa Lowahasa!!

Kinachonisikitisha kwa "Pasco wa JF" ni kitu kimoja tu, kila siku kukana kwamba yeye si mfuasi wa chama chochote cha siasa wakati matendo yake yanazungumza bila hiyana kwamba kama si mwanachama hai basi ni shabiki sugu wa magamba. Kama angethubutu kudeclare kwamba yeye ni mwanachama ama mshabiki sugu wa magamba tusingemshangaa wala kumlaumu.

Lakini kwakuwa anajaribu kucheza na akili za watu hapa JF na kudhani kwamba watu hawajui kusoma betwen the lines, ama anadhani watu hawajui kusoma body language, basi atambue kwamba kwa kuendelea na tabia hiyo, hakutakuwa na kosa lolote tukimuita MNAFIKI.
 
Back
Top Bottom