Shuka kama vipi, tuna chopa ya chama hapa tunaeza kukufuata kwa hasira kudadadadeki!Kudadadadadeki...
Wenye wivu wajinyonge. Nami nimetinga Gwanda full nililozawadiwa na mbunge wangu Halima Mdee
Mimi bana mimi, Hivi hii Daa express ya CCM au? Mbona haikimbii? Manina zake!
Nunueni yote wakafie mbali huko manake wanatuchelewesha kufika mwisho wa safari yetu!..Kuna ligamba moja zembe limekuwa diwani bana. Hawa watu bana... ngoja watuuzie mashamba yao watokomee zao maporini huko, tuiteke Dar. Manina wallah!
Kudadadadeki... konda mabia draiva yako aweke breki hapo.Shuka kama vipi, tuna chopa ya chama hapa tunaeza kukufuata kwa hasira kudadadadeki!
Hahahaha! Leo jf doctor imefungwa kwa mda..Leo Magwanda yanafuraha yamejaa kila thread...ngoja nikajichimbie JF Doctor...
Pole mzee... heri uende huko manake hata Chit Chat kule ni full Gwandaz....Leo Magwanda yanafuraha yamejaa kila thread...ngoja nikajichimbie JF Doctor...
Huko ndo kubaya zaidi, maana kuna ishu ya yule Dr. anayedai aliwachanja chale za makalioni jamaa wa cdm, anachambwa huko mbaya!Leo Magwanda yanafuraha yamejaa kila thread...ngoja nikajichimbie JF Doctor...
Hehehe!Kudadadadeki... konda mabia draiva yako aweke breki hapo.
SL anakuja pokea ODM na chopa yetu. Wese la kutosha katuwekea mukulu yetu Ndesa Pesa Mingi. *****!
ritz hadi huko wapo wanatoa ushauri kusiaidia waliopata heart attack baada ya matokeo ya arumeru...Leo Magwanda yanafuraha yamejaa kila thread...ngoja nikajichimbie JF Doctor...
Leo hataki kabisa kuonekana!Pasco ni kinyonga anabadilika rangi kutokana na mazingira. Aliipoona sioi kapitishwa mara ya pili akadhani tayari amashinda na jana alipoona mambo yamegeuka naye kaamua kugeka yaani ni full kinyonga.
Sasa ile safariya kutoka Kimara hadi Posta ukiwa kama ulivyozaliwa unaianza saa ngapi!?
Pole mzee... heri uende huko manake hata Chit Chat kule ni full Gwandaz....
Leo Magwanda yanafuraha yamejaa kila thread...ngoja nikajichimbie JF Doctor...