Pasco wa JF aje Hapa!

Pasco wa JF aje Hapa!

na mie namngoja swahiba wangu Pasco anipitie tunukie wote uturi on our way kwenda kushuhudia Siyoi akiapishwa maana alishindaga zamani...
Pasco nipitie bana usiniache!
 
Kama wajapenga, wajapeengaaaa, nasema kama wajapengaaaa, tujipange mstarini, cheza kibodaboda... Raha kweli jamani. Kudadadeki
 
Yupo busy kumpooza machungu mkwe wa Siyoi kwa kumwaga mahela kisha wamedondokea pua, I see inauma sana boss wako anapo dondokea pua na ulikuwa ukimpa moyo kuwa mtachukua jimbo.
 
Pasco, yako wapi?
Hii si aibu kwa umri wako mzee mwenzangu?
Mtu kama wewe, kwa kazi yako hutakiwi kuwa mnafiki, maana unadeal na Media...umeishushia sana hadhi PPR

wamejaribu hadi kutoa rushwa ya aridhi lakini wap.wamejaribu hata kututukana lakin wapi walizani mbinu zao zinawapa ushindi kumbe wanajimaliza
 
Wacha we mbona sijakuona SL
Wewe ulikuwa kwenye kruza tinted vile ungenionaje wakati mwenzio usafiri ulikuwa tz 11?,

manake tulikosa hice kama utani tukatembea toka tengeru tulipofika kwa ngulelo tukapata hice tukaning'inia mpaka town lol...

Wacha kabisa BW mabadiliko lazima yaje kwa machungu ati..
 
na mie namngoja swahiba wangu Pasco anipitie tunukie wote uturi on our way kwenda kushuhudia Siyoi akiapishwa maana alishindaga zamani...
Pasco nipitie bana usiniache!
Mie nasubiria mzinifu ajinyonge nihudhurie msiba!..
 
wakuu nimefatilia post zake jana usiku alikuwa wa kwanza kusema chadema wanashinda na nilishindwa kumwelewa''pasco kama alivyo waberoya free pipo hawafungamani kokote naona ni sawa tu

Katika hii vita tuliyonayo Watanzania, hakuna dhambi kubwa kama hiyo ya kudai hufungamani na upande wowote, watu kama hao ni hatari kuliko hata akina Ribosome. Naweza nikasema kwa uhakika kabisa kuwa ni watu wa aina hiyo ndiyo wametusababishia, sisi Watanzania, tuwe hapa tulipo kwani ni wanafiki wakubwa na ujue kabisa, ukimwamini mtu kama huyo, umeliwa! Baada ya Chadema kuwapa somo manyang'au wa CCM si ajabu eti na wao sasa bila hata chembe cha aibu wanaibuka na kudiriki kuipongeza Chadema.
 
Pasco anaudhi maana anaongea kwa uhakika sana vitu ambavyo havielewi, wala hana uhakika navyo!
Naomba aje kuthibitisha au kufuta kauli yake kwamba Sioi alishinda tokea siku alipothibitishwa!...
Pascoo, too boring you hypocrite!

Anaogopa nini ,wakati anatoa maneno yake ya kejeli hakufikiria mbele alikua anaona nyuma tu?! AJE HAPA HARAKA ATUELEZE HUO USHINDI WA SIOI UMEENDA WAPI MAANA ALIDAI BADO KUTANGAZWA TU!
 
wamejaribu hadi kutoa rushwa ya aridhi lakini wap.wamejaribu hata kututukana lakin wapi walizani mbinu zao zinawapa ushindi kumbe wanajimaliza
Haki daima itatawala!
Tangu sasa na tujifunze kuwa fedha si jawabu la kila kitu!
 
Pasco tafadhali jibu hoja...nakuona kupitia profile yako unabrowse hii thread!
Njoo uutete unafiki wako hapa!
Nilikuonya juzi kuwa unaweza kuharibu sifa ya tathnia yako ambayo uko nayo kwa takriban miongo 3!
 
user-online.png
Pasco

28th March 2012 07:47
Join Date : 22nd September 2008
Posts : 6,398
Rep Power : 2211
Likes Received2375
Likes Given6033



icon1.png
Re: Waraka unaodaiwa wa Wabunge wa CCM kumpinga SIOI wasambaa Arumeru

Jackbauer, sio taarifa za Arumeru, uchaguzi ulishafanyika kitambona matokeo ya Arumeru yalishatoka na nilishayatangaza huko nyuma. Kinachoendelea sasa ni kutimizwa tuu kwa matakwa ya sheria, taratibu na kanuni!. ​

​


Sasa hivi karibia watu watazikana kauli zao wenyewe!
 
Wewe ulikuwa kwenye kruza tinted vile ungenionaje wakati mwenzio usafiri ulikuwa tz 11?,

manake tulikosa hice kama utani tukatembea toka tengeru tulipofika kwa ngulelo tukapata hice tukaning'inia mpaka town lol...

Wacha kabisa BW mabadiliko lazima yaje kwa machungu ati..
Si ndo maana nakupendaga tu bure....

A town oyeeeeeeeee
SL hongera mwayego
 
Back
Top Bottom