Pasco wa JF aje Hapa!

Mkuu Ritz kumbe upo mzee mwenzangu,ulijificha wapi kiongozi?teh teh teh!kuhusu hiyo kauli ya kutembea uchi hata mimi nakutetea,ulisema uzini na wala si Arumeru!naona kamanda mwenzetu kateleza kidogo!

Mkuu wangu leo napigwa za uso tu, kila nikijitokeza.
 
Nikiwa mwana ccm mashuhuri !

NIKIWA KAMA MWANA CCM KIPENZI.

hongera chadema, hongera joshua nassari, hongera wana arumeru, hongera ccm kwa kukubali matokeo, hongera sioi kwa kujaribu! Sasa mh. Mbunge mteule, joshua nassari, hudumia wananchi wako wa arumeru mashariki na watanzania wote bila kuweka mbele itikadi za kisiasa. Wapende pia sana wale waliokunyima kura hasa zile kata ambazo ccm imeshinda uwe karibu nao zaidi uwaondoe hofu yao. Demokrasia imeongea wana wa arumeru mashariki wameongea.


BUCHO WA JF
 
Back
Top Bottom