Papa Msoffe na wenzake wafutiwa mashtaka na DPP

Papa Msoffe na wenzake wafutiwa mashtaka na DPP

Kweli tulikabidhi nchi kwa mshamba .Anyway,angalau taratibu biashara na mishe mitaani zitaanza kuimarika ivyo mzunguko wa fedha kuonekana, whether legally or illegally the money must flow across the streets!
Chawa utamjua tuu we ulikua na biashara gani zaidi ya kutegea pesa za bosi
 
Legally or illegally? Haya ni maajabu? Uchumi ukiendeshwa kwa illegal money huko street unaposema basi hiyo nchi inakaribia kuanguka
Huyo bwana alikua chawa tuu ndio maana anafurahi mazungu ya unga yakirudishwa uraiani apate pesa za bure
 
Ukiona rais anapigiwa makofi kwa kuwaachia watuhumiwa wa uharifu, halafu naye anaendelea tu akiamini ni topic nzuri kisiasa, ujue tunatokomea kabisa!! Huyu ni mwanaharakati anayedhani sifa hizo ndo maendeleo.

Hapa JF kwenyewe wajinga kibao! Sasa wengine hata hawajui Msofe yuko ndani tangu lini, wankenue meno eti walionewa na JPM! Taabu sanaaa!
Huo ndio ukweli yani watu hata hawamjui Msofe ni nani.. Mtu alikamata 2012 kwa kushutumiwa kumuua kijana wa watu
 
Chombo pekee chenye uwezo wa kuthibitisha wahalifu ni mahakama, sasa wewe ujasiri wa kuita watu wahalifu unaupata wapi? Ikiwa ushahidi dhidi yao hauna
Dpp ndio amesema hana maslahi na kesi sio kuwa mahakama imemkuta hana kosa.. Ukisoma wapi
 
Kwa watu wanaoishi nje ya dar es salaam haswa maeneo ya kinondoni ni vigumu kuwafahamu hao walioachiwa kiundani ila wanacoment kiushabiki tu.
 
Wapiga VYOMBO wengi hatupendeki uraiani.jamii inatuchukulia kama hatuna akili.

Yenyewe eti ndio INA akili.hahaa
Unafikili papa huyu watu walikuwa wanamuwazia vizuri wakt akitapanya fweza vilabuni.

Kwa jinsi hii,hata angekuwa na udhaifu WA kawaida WA kibinadam lazime ukuzwe.
Lazima uhusishwe na ujambanoka
 
Papaa Msofe ni mtu hatari kwenye jamii. Ni dhulumati. Anaachiwa yes, ila watu wasio na hatia wakiumizwa tena lawama atabeba nani?
Otherwise anakribishwa tena. RC Dar ni Amos Makala. Pale Masters Maina Band bado wapo kila Jmosi. Chuma cha reli kilichopata kutu
Huyu mwamba anaogopeka kama Simba, akiwa anabarizi jioni na kigari chake Cha wazi au Lexus LX 570 mitaa ya Mikocheni Warioba au barabara ya Lucy Lameck hakuna mpuuzi anamsogolea na huwa ndani ya gari yupo mwenyewe na haweki tinted.
 
Marijani Abdubakari Msoffe aka Papa Msoffe ameachiliwa huru baada ya MKurugenzi wa Mashitaka (DPP) kusema hana mpango wa kuendelea na kesi dhidi yake. Walikuwa wakikabiliwa na mashtaka matano likiwemo la kujipatia fedha kiasi cha Sh943 milioni kwa njia ya udanganyifu

Mbali na Msofe, washtakiwa wengine walikuwa wakili wa kujitegemea, Mwesigwa Mhingo, Wenceslau Mtui, Josephine Haule na Fadhil Mganga

Miongoni mwa mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili ni kuratibu genge la uhalifu, utakatishaji fedha na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu

Zaidi, soma:
1). Papaa Msofe naye yamkuta. Afikishwa Mahakamani akituhumiwa na makosa matano likiwemo ya Utakatishaji fedha

2). Papaa Msoffe apata dhamana baada ya kubadilishiwa mashtaka

3). Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji

4). Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Back
Top Bottom