Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,703
- 10,201
Nini hiki? Kwamba kwa sababu Dpp yupo independent ndio afungue na kufuta kesi anavyotaka? Principle zipo wazi apeleke mahakani kesi baada ya kujilidhisha na ushahidi. Leo hii watu aliotuaminisha ni waharifu na wapigaji anawaachia bila sababu nani atamuamini Dpp kama huyu.