Papa Msoffe na wenzake wafutiwa mashtaka na DPP

Papa Msoffe na wenzake wafutiwa mashtaka na DPP

Mh... Huyu ''Papaa'' siyo mtu mzuri. Labda iwe walimkamata kwa kukurupuka lakini rekodi yake uraiani siyo nzuri hata kidogo. Kuachia watu waliokamatwa kwa kukomolewa au bila ushahidi ni jambo zuri sana lakini wawe makini wasiachie na wahalifu wazoefu au wenye mamlaka wasitumie hii nafasi kuachia wahalifu kwa kupewa mshiko!
Sasa hivi hawezi kufanya ujinga tena maana ameshajua kuwa vyombo vya usalama vipo na vinafanya kazi
 
Mtu mbona mashataka yake kama ya Sabaya, ..nahisi baada ya muda DPP atakuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka ya Sabaya na wenzake!
Atakapoachiwa Sabaya ndo hawa mbung'o wanaomshangilia wataijiwa na akili kujua aina ya rais tuliyenaye.
 
Back
Top Bottom