Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,785
- 165,475
Kina Sabaya walifanya uhalifu na kulindwa na serikali gani?Majambazi yanarudi mtaani.Hali si shwari
Kina Sabaya walifanya uhalifu na kulindwa na serikali gani?Majambazi yanarudi mtaani.Hali si shwari
Kweli tupusheria zilizo waweka ndani zipitiwe upya maana naona zilikuwa zimetungwa kwa mihemko ya kukomoona
Tena wakati wa utawala wa shujaaKina Sabaya walifanya uhalifu na kulindwa na serikali gani?
Aachiwe tu hakuna namna na mzee RugeBado Ndama Mutoto ya Ng'ombe (Son of Cow).
Hicho si kigezo cha kuhalalisha wahalifu warudi uraianiKina Sabaya walifanya uhalifu na kulindwa na serikali gani?
Watu wapo ndani miaka upelelezi haujakamilika, jinai haifi ikithibitika wana makosa watawakamata tenahawa viongozi wanataka kutuaminisha kwamba hao watu walibambikiwa kesi kweli? mmmh kuna walakini katika aidha mashitaka yao au kuachiwa kwao pia hiyo inatoa taswira ya wazi kwamba office ya DPP(au dpp mwenyewe) ina(ana)fanya kazi kwa mashinikizo ya rais na haiko huru katika utendaji kazi wake
Chadema wanasema alikuwa ameonewaHuyu Msofe ameumiza sana watu. Hakustahili kuachiwa.
Karibu sana Dar es salaam ndugu. Umeingia lini town?Kwa kweli tulikuwa na utawala wa hovyo sn dikteta aliamini kila aliyefanikiwa ni wizi.
Chadema yupi? Unaweza kumtaja au kuweka nukuu?Chadema wanasema alikuwa ameonewa
Roho mbaya zinawasumbua bado! Kivuli cha mwendazake na roho za kimaskini bado zinarandaranda mtaani!Majambazi yanarudi mtaani.Hali si shwari
Fafanua kidogo mkuu, wengine tupo idindilimunyuSaizi Papaa Msofe yupo huru,ajiachie na convertible yake maana wazee walikuwa hawakauki ofisini kwake kudai posho Mikocheni.