Ryaro ryaro
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 377
- 1,170
Kumbuka asili ya Kabudi n sawa na asili ya Ndugai.. nadhani kuna shida mahalia fulani kwenye kabila hilo...
This is incoherent yammering, what Karpov would call call much ado about nothing. Sheria zipi? Kesi zipi? Kaachiwa Sethi, alifungwa na Kikwete, dhalili iko wapi?Waziri wa katiba na sheria wa Sasa Prof. Kabudi anapaswa kujiuzulu apishe watu wengine kwenye ofisi hiyo muhimu. Walimwona ameshiriki sana kumshauri Magu kuhusu sheria, wakamteua Waziri wa sheria ili watoe maelekezo kwa walio chini yake then adhalilike...
Unamshauri arudi Jalalani? Nenda wewe kama unaona ni pazuri.Waziri wa katiba na sheria wa Sasa Prof. Kabudi anapaswa kujiuzulu apishe watu wengine kwenye ofisi hiyo muhimu. Walimwona ameshiriki sana kumshauri Magu kuhusu sheria, wakamteua Waziri wa sheria ili watoe maelekezo kwa walio chini yake then adhalilike...
Mkurugenz wa Mashtaka haingiliwi wala hapangiwi hivo basi Wizara ya Katiba na Sheria iko mbali kweli na DPP
Wakati wa utawala was Meko watumishi wote walipigwa ganzi, wanasiasa walipigwa ganzi, wasanii walipigwa ganzi, waandishi wa habari na watangazaji walipigwa ganzi, mtuu pekee aliywkuwa na uwezo wa kukosoa in Nay wa mitego
DUNIA INA WATU W AINA NYINGI,WAPO UNAPOUMIA YEYE NDIO ANAPATA :FULAHA: KWELI KWELI,LAKINI KWA REHMA ZA ALLAH YAMESHAPITA TUNAYE MPENDA HAKI ANAPIMA HAKI ANATATHINI ANAONA KWELI IPO WAPO ALHAMDU LILLAH.
Kwann baba yako asijiudhuru? Apishe watu wengine.Waziri wa katiba na sheria wa Sasa Prof. Kabudi anapaswa kujiuzulu apishe watu wengine kwenye ofisi hiyo muhimu. Walimwona ameshiriki sana kumshauri Magu kuhusu sheria, wakamteua Waziri wa sheria ili watoe maelekezo kwa walio chini yake then adhalilike...
Hili bandiko limekosea mlengwa.Waziri wa katiba na sheria wa Sasa Prof. Kabudi anapaswa kujiuzulu apishe watu wengine kwenye ofisi hiyo muhimu. Walimwona ameshiriki sana kumshauri Magu kuhusu sheria, wakamteua Waziri wa sheria ili watoe maelekezo kwa walio chini yake then adhalilike...
Yaani unamshauri arudi jalalani tena? Unawajua Wagogo au unawasikia tu?Waziri wa katiba na sheria wa Sasa Prof. Kabudi anapaswa kujiuzulu apishe watu wengine kwenye ofisi hiyo muhimu. Walimwona ameshiriki sana kumshauri Magu kuhusu sheria, wakamteua Waziri wa sheria ili watoe maelekezo kwa walio chini yake then adhalilike...
Heshima na Ugali kipi boraWaziri wa katiba na sheria wa Sasa Prof. Kabudi anapaswa kujiuzulu apishe watu wengine kwenye ofisi hiyo muhimu. Walimwona ameshiriki sana kumshauri Magu kuhusu sheria, wakamteua Waziri wa sheria ili watoe maelekezo kwa walio chini yake then adhalilike...
JalalaniAkale wapi Sasa?
Duh...!. Yaani wote?, Wote Kabisa?.
Haya bana!.
P
Mwenda kuzimu alikuwa zaidi ya gaidi, alikandamiza sn watuWakati wa marehemu watu wengi walitengenezewa kesi Fake ili kuwaumiza kutokana na chuki na roho mbaya ya marehemu. Sasa hivi nchi ipo kwenye utulivu.
Heshima na Ugali kipi bora
Naye akaikimbia nchi akiwa amejaa bombaNa Tundu Antipas Mughwai Lisu.