Ya Mauaji vipi?Marijani Abdubakari Msoffe aka Papa Msoffe ameachiliwa huru baada ya MKurugenzi wa Mashitaka (DPP) kusema hana mpango wa kuendelea na kesi dhidi yake. Walikuwa wakikabiliwa na mashtaka matano likiwemo la kujipatia fedha kiasi cha Sh943 milioni kwa njia ya udanganyifu
Mbali na Msofe, washtakiwa wengine walikuwa wakili wa kujitegemea, Mwesigwa Mhingo, Wenceslau Mtui, Josephine Haule na Fadhil Mganga
Miongoni mwa mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili ni kuratibu genge la uhalifu, utakatishaji fedha na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu
Zaidi, soma:
1). Papaa Msofe naye yamkuta. Afikishwa Mahakamani akituhumiwa na makosa matano likiwemo ya Utakatishaji fedha
2). Papaa Msoffe apata dhamana baada ya kubadilishiwa mashtaka
3). Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji
4). Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?
Kwa nick wa2Akale wapi Sasa?
Njaa haina baunsa. Njaa humfanya mbwa kula hata kinyesi chake achilia mbali matapishi.Kabudi usikubali kula matapishi yako, kaa pembeni
Na Tundu Antipas Mughwai Lisu.mtuu pekee aliywkuwa na uwezo wa kukosoa in Nay wa mitego
YeahNa Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Jalalani si kupo?Akale wapi Sasa?
Mambo ni mengi , muda mchache, na hiyo nayo alivyoongoza msafara na kutumia gharama za walipakodi kwa safari isiyo na tija ilikuwa kazi kwelikweli....
Kweli Mungu ni Fundi Mkuu wa kurekebisha mambo.Wakati wa utawala was Meko watumishi wote walipigwa ganzi, wanasiasa walipigwa ganzi, wasanii walipigwa ganzi, waandishi wa habari na watangazaji walipigwa ganzi, mtuu pekee aliywkuwa na uwezo wa kukosoa in Nay wa mitego
Duh...!. Yaani wote?, Wote Kabisa?.Wakati wa utawala wa JPM, watumishi wote walipigwa ganzi, waandishi wa habari na watangazaji walipigwa ganzi,