Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 674
- 691
Wew ni mavi hujui chochote unapita kwenye barabara alizojenga halafu unajitia hamnazoYes yes warudi uraian tujenge nchi, yule chizi ashasepa zake na ukichaa wake
Wew ni mavi hujui chochote unapita kwenye barabara alizojenga halafu unajitia hamnazoYes yes warudi uraian tujenge nchi, yule chizi ashasepa zake na ukichaa wake
Huyu jamaa anachafua jina la babati angejiita Machame
Release is loading...Bado Ndama Mutoto ya Ng'ombe (Son of Cow).
Kwa kweli tulikuwa na utawala wa hovyo sn dikteta aliamini kila aliyefanikiwa ni wizi.
Ndama mbona kitambo tu yuko uraiani,alinunua uhuru wake kwa M200Bado Ndama Mutoto ya Ng'ombe (Son of Cow).
Lini na wapi Chadema walisema hivyo?Chadema wanasema alikuwa ameonewa
Mh... Huyu ''Papaa'' siyo mtu mzuri. Labda iwe walimkamata kwa kukurupuka lakini rekodi yake uraiani siyo nzuri hata kidogo. Kuachia watu waliokamatwa kwa kukomolewa au bila ushahidi ni jambo zuri sana lakini wawe makini wasiachie na wahalifu wazoefu au wenye mamlaka wasitumie hii nafasi kuachia wahalifu kwa kupewa mshiko!
Bado Ndama Mutoto ya Ng'ombe (Son of Cow).
Kaka ni wewe au kuna mtu kaiba ID yako?DPP yuko kimaslahi zaidi
Mwamba agizia chochote hapo kwa Mangi ntalipa. Nimecheka balaa.Bado Ndama Mutoto ya Ng'ombe (Son of Cow).