Papa Msoffe na wenzake wafutiwa mashtaka na DPP

Papa Msoffe na wenzake wafutiwa mashtaka na DPP

Serikali makini hawa walistahili kupotezwa moja kwa moja. sasa huyu ambaye hana ajenda ya kisiasa kumpa sifa, ameona kuachia waharifu ndo sifa yake kuu. Tunaumizwa Tanganyika wakati kwao Zanzibar wamejifungia.
Kabisa.

Haya majizi ni kutandika tu risasi za kichwa.

Tunabembelezana mno mpaka inafika wakati Kiongozi wa nchi anakuwa mtetezi wa majizi na wahalifu.
 
Wameibuka wapuuzi wanaona kila kilichofanyika wakati ule kibaya. Wanashangaza sana. Huyu sabaya angekamatwa na kufungwa wakati wa JPM leo hii wangemtetea aachiwe. Kuna watu hawajielewi kabisa
Unafikiri waliitwa "nyumbu" kwa bahati mbaya?
 
Ndio maana "walikutia ndani" kwa sababu huna akili.

Hata ningekuwa ni mimi ningekushughulikia tu vile vile.

Na una bahati walikuachia.
Yes! Kuna watu ni wachafu kiasi kwamba ukiwaacha wanachafua wengine. Tia ndani!!
 
Wewe MJINGA ikiwa kwa Miaka yote mliopeleka kesi Mahakamani mkashindwa kuthibitisha mashtaka yenu manake mliBambikia watu
Hizi hasira unamtolea nani sasa hapa?

Waliobambikiwa ni hao matajiri tu?

Usiwe sukule
 
Kweli tulikabidhi nchi kwa mshamba .Anyway,angalau taratibu biashara na mishe mitaani zitaanza kuimarika ivyo mzunguko wa fedha kuonekana, whether legally or illegally the money must flow across the streets!
Ukiona rais anapigiwa makofi kwa kuwaachia watuhumiwa wa uharifu, halafu naye anaendelea tu akiamini ni topic nzuri kisiasa, ujue tunatokomea kabisa!! Huyu ni mwanaharakati anayedhani sifa hizo ndo maendeleo.

Hapa JF kwenyewe wajinga kibao! Sasa wengine hata hawajui Msofe yuko ndani tangu lini, wanakenue meno eti alionewa na JPM! Taabu sanaaa!
 
Mtu mbona mashataka yake kama ya Sabaya, ..nahisi baada ya muda DPP atakuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka ya Sabaya na wenzake!
 
Mh... Huyu ''Papaa'' siyo mtu mzuri. Labda iwe walimkamata kwa kukurupuka lakini rekodi yake uraiani siyo nzuri hata kidogo. Kuachia watu waliokamatwa kwa kukomolewa au bila ushahidi ni jambo zuri sana lakini wawe makini wasiachie na wahalifu wazoefu au wenye mamlaka wasitumie hii nafasi kuachia wahalifu kwa kupewa mshiko!

Akirudi mtaani na akaendelea na vitendo vyake vya uhalifu atakamatwa tena kwahiyo usiwe na wasiwasi wowote.
 
Back
Top Bottom