gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 13,032
- 16,065
Hata mtakatifu ni cheoMtukufu ni Cheo.
Hata mtakatifu ni cheoMtukufu ni Cheo.
Nimefurahi kumbe unajua hilo.Hata mtakatifu ni cheo
Uko powa lakini?Nimefurahi kumbe unajua hilo.
Anaeona Mungu ni Yesu yupo sawa, anaeona Mungu ni Ng'ombe yupo sawa, anaeona Mungu ni mti yupo sawa.
Kila mtu yupo sawa kwa mtazamo wake kikubwa ni kuwa na uhusiano mzuri na Mungu
Nipe tarifa sahihiKitendo cha kuamini kwamba Trump alijitengenezea picha akiwa amevaa kama pope kinatilia mashaka umahiri wako wa kudadisi mambo kwa kina ili upate taarifa zilizo sahihi.
Gallow bird umenichanganyaMungu kwa mtazamo upi!?.. maana wengine Mungu wao yesu, ng'ombe
🤔 🤔 🤔Hakuna Mungu aliyemweka hapo.
Mungu hayupo.
Kura ndio zimemweka hapo and nothing else.
Mkuu sio kweli, unapotosha watu.EU nao umewasikiliza?
Kila upande wanatetea mnduku...shit
Mkuu hawaaminishi watu kama unavyotaka kusema. Fanya utafiti kwanza kuhusu utamaduni wa kutumia tofauti ya moshi kutoa taarifa ya upatikanaji wa papa kwa waumini wao.Inasikitisha sana wanapotaka kuaminisha watu kwamba mwenyezi Mungu eti kupitia moshi mweupe analeta pope atakaekuja kuvuruga imani ya waumini wake.
🤔 🤔 🤔Ukizingatia maana na asili ya neno catholic, sioni ajabu kwa yanayofanyika ,kwani hili linaloitwa kanisa takatifu ni serikali inayojua nini inafanya,kama wewe ni mfuatiliaji kuna mzuri utagundua the roman catholic church imefanya blasphemy nyingi tokea miaka ya zamani mpaka kesho jioni . Ukisoma THE GREAT ENCYCLICAL LETTERS OF
POPE LEO XIII.
Chapter: THE REUNION OF CHRISTENDOM (page 303-307)
utaona jinsi gani kanisa hili lisivyo husiana kabisa na Mungu wa kweli badala yake linapotosha watu.
Mkuu ungeweka hadharani hiko kifungu unachozungumzia wote tukione ili kuthibitisha unachosema. Pamoja na yote maoni na mtazamo wako yaheshimiwe.Ukizingatia maana na asili ya neno catholic, sioni ajabu kwa yanayofanyika ,kwani hili linaloitwa kanisa takatifu ni serikali inayojua nini inafanya,kama wewe ni mfuatiliaji kuna mzuri utagundua the roman catholic church imefanya blasphemy nyingi tokea miaka ya zamani mpaka kesho jioni . Ukisoma THE GREAT ENCYCLICAL LETTERS OF
POPE LEO XIII.
Chapter: THE REUNION OF CHRISTENDOM (page 303-307)
utaona jinsi gani kanisa hili lisivyo husiana kabisa na Mungu wa kweli badala yake linapotosha watu.
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
🤣 🤣 🤣Hatukumuelewa Trump alipost kavaa vazi la papa ila baada ya hili tendo tumemuelewa kwanini alipost vile
Mkuu je, kama kinyume chake ndio sahihi inakuwa je? Je wajua Kanisa Katoliki lilishawahi kuwa mbwa mwitu na kula kondoo wake vibaya mno?? Kasome historia yake.Kanisa limetekwa nyara. Waumini tupiganie nafsi zetu. Maana mchungaji badala ya kupeleka kondoo kwenye malisho sahihi, anapeleka kondoo katikati ya mbwa mwitu.
🤣 🤣 🤣Hata mimi naamini kabisa tumeingizwa chaka. Hata mwonekano tu umekaa kihuni. Waafrica tumeyakanyaga
🙋✍️🎯👍👌👏👊🤝🙏Watu wanatetea haki za kiutu za mashoga kama walivyo binadamu wengine.
Siyo kwamba wanakubaliana na hizo tabia za kishoga.
Kuna watu wanajihalalisha kuua mashoga.
Sasa inakuwaje mashoga wawe wadhambi ila wauaji wasiwe tatizo.
Hapa siyo dini ni masuala ya utu tu.
🤔 🤔 🤔Kwani huyo Mungu hawezi kufanya kazi bila kutegemea binadamu?