Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Waovu wanashangiliwa kwa uovu wao kwa sababu watu wema wamejaa uoga .
Hivi adui wa Watanzania kwa sasa ni mashoga au watekaji wasiojulikana .
Waafrika wamejawa na madhambi chungu nzima kama wizi wa mali za umma,ugaidi ,utekaji ,uuaji,uchawi ,mauaji uzinzi , unafiki ,uongo na dhulma lakinav~[
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Yaani kwa mfano wewe unataka Papa kazi yake iwe ni kujibu maswali ya ushoga na kutoa kauli kali kwa mashoga duniani wakati kila nchi ina sheria zake ?
Tamko la vatikani linatakiwa kutolewa kwa hekima kubwa sana maana linakua ni mwongozo wa kanisa.
Shoga kwa mfano akija Kanisani kuombewa wewe ungekuwa padri ungemfukuza ?
Na ukumbuke mashoga wa Ulaya sio kama wale wanaonuka ukurutu kule Zanzibar na Kibindoni na Manzese . Ni watu ambao huwezi kuwadhania mpaka wajitambulishe. Amekuja fadha niombee kwa Mungu maana na mimi ni kiumbe cha Mwenyezi Mungu ? Je, ungekataa ?
Je, Sio Mungu mwenye kila kitu lakini hakumuua shetani na alimsikiliza alipoomba kuwa niachie niwajaribu hawa binadamu ili nipate wakwangu?
Kama Mungu alimpa shetani ruhusa ya kile alichoomba Papa ni nani aweke kanuni za kuwafukuza na kuwanyanyasa wanaotaka kuombewa ?
Yaani sasa mnataka pawe na tamko kuwanyanyasa watu Wanaotuhumiwa kwa ushoga dunia nzima ?
Kwa nini mabunge yenye dhamana hiyo yasitunge sheria kulingana na tamaduni zao? Lakini pia Wezi kwa mfano wa pesa za wizara ya Afya ni hatari kuliko Mashoga maana wanasababisha maelfu na Malaki ya watu wanakufa kwa kukosa huduma ya Afya .
Magaidi mfano wanaoua watu kule Nigeria ,Kongo ,Palestina ni hatari kwa jamii nzima kuliko ,mashoga ambao kimsingi huko kwa wazungu ni kama igizo fulani linachezwa ili waafrika waige na kupunguza kizazi cha Mwafrika .
Anajitokeza tu Tajiri mmoja na mtu maarufu huko Ulaya anajitangaza kuwa ni shoga . Lazima tujiulize ni shoga kweli au kuna igizo hapo kwa nini ajitangaze halafu anaowatuma huko Afrika wanakuja kwa kificho ?