Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢
Tayari imeishasemwa kuwa Papa Leo IV ana msimamo mkali dhidi ya ushoga! Hivyo ondoa shaka.
 
Ushaambiwa ndiye alikua mshauri mkuu WA papa Francis, Hata ajenda za ushoga alizokua alizitamka Kila mara, tunapaswa kuamini aliemshauri ni yeye.

Maana hakuwai kujiuzulu wadhfa wake (Kama mshauri mkuu) Wala kuzikemea Kwa cheo chake kingine (Kama kiongozi mkuu wa makardinari)
Ww ulijuaje kama hakua akimshauri vice versa.
 
Kuna huyu papa mpya wa muziki wa CONGO 😀
 

Attachments

  • FB_IMG_1747049529674.jpg
    FB_IMG_1747049529674.jpg
    46.3 KB · Views: 10
Haya ni mambo ya dunia tu, Mungu kawekwa pembeni. Walishapanga kuwa papa atatoka USA, ndio maana Trump alianza kuyavaa yale mavazi ya kipapa.
 
Back
Top Bottom