Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Mkuu je, kama kinyume chake ndio sahihi inakuwa je? Je wajua Kanisa Katoliki lilishawahi kuwa mbwa mwitu na kula kondoo wake vibaya mno?? Kasome historia yake.
Najua.

Kitabu cha Ufunuo kimeandika habari za kanisa la Leodacia. Yesu ameita kanisa hili kuwa ni vuguvugu...na akalitapika. Matendo ya leo ya kanisa kimizania ni Leodacia 100%. Tafakari
 
Tunajua ni nguvu za kidola,waliyoirithi toka kwenye utawala wa kipagani wa kiroma ila sio Nguvu za Mungu
Mkuu ni kweli walirithi nguvu za kidola kutoka rumi, tuambie na utuonyeshe walioridhi nguvu za Mungu ili tufanye ulinganifu sawa!
 
Kanisa ni moja
Kanisa ni takatifu
Kanisa ni katoliki
Kanisa ni la mitume
 
Waovu wanashangiliwa kwa uovu wao kwa sababu watu wema wamejaa uoga .

Hivi adui wa Watanzania kwa sasa ni mashoga au watekaji wasiojulikana .
Waafrika wamejawa na madhambi chungu nzima kama wizi wa mali za umma,ugaidi ,utekaji ,uuaji,uchawi ,mauaji uzinzi , unafiki ,uongo na dhulma lakinav~[


Yaani kwa mfano wewe unataka Papa kazi yake iwe ni kujibu maswali ya ushoga na kutoa kauli kali kwa mashoga duniani wakati kila nchi ina sheria zake ?

Tamko la vatikani linatakiwa kutolewa kwa hekima kubwa sana maana linakua ni mwongozo wa kanisa.

Shoga kwa mfano akija Kanisani kuombewa wewe ungekuwa padri ungemfukuza ?

Na ukumbuke mashoga wa Ulaya sio kama wale wanaonuka ukurutu kule Zanzibar na Kibindoni na Manzese . Ni watu ambao huwezi kuwadhania mpaka wajitambulishe. Amekuja fadha niombee kwa Mungu maana na mimi ni kiumbe cha Mwenyezi Mungu ? Je, ungekataa ?

Je, Sio Mungu mwenye kila kitu lakini hakumuua shetani na alimsikiliza alipoomba kuwa niachie niwajaribu hawa binadamu ili nipate wakwangu?

Kama Mungu alimpa shetani ruhusa ya kile alichoomba Papa ni nani aweke kanuni za kuwafukuza na kuwanyanyasa wanaotaka kuombewa ?

Yaani sasa mnataka pawe na tamko kuwanyanyasa watu Wanaotuhumiwa kwa ushoga dunia nzima ?
Kwa nini mabunge yenye dhamana hiyo yasitunge sheria kulingana na tamaduni zao? Lakini pia Wezi kwa mfano wa pesa za wizara ya Afya ni hatari kuliko Mashoga maana wanasababisha maelfu na Malaki ya watu wanakufa kwa kukosa huduma ya Afya .
Magaidi mfano wanaoua watu kule Nigeria ,Kongo ,Palestina ni hatari kwa jamii nzima kuliko ,mashoga ambao kimsingi huko kwa wazungu ni kama igizo fulani linachezwa ili waafrika waige na kupunguza kizazi cha Mwafrika .
Anajitokeza tu Tajiri mmoja na mtu maarufu huko Ulaya anajitangaza kuwa ni shoga . Lazima tujiulize ni shoga kweli au kuna igizo hapo kwa nini ajitangaze halafu anaowatuma huko Afrika wanakuja kwa kificho ?
🙋✍️🎯👍👌👏👊🤝🙏
 
Najua.

Kitabu cha Ufunuo kimeandika habari za kanisa la Leodacia. Yesu ameita kanisa hili kuwa ni vuguvugu...na akalitapika. Matendo ya leo ya kanisa kimizania ni Leodacia 100%. Tafakari
Mkuu biblia halisi ipo ndani ya Kanisa Katoliki, itafute uisome vizuri, usihangaike hizi ambazo zipo so much adulterated.

Mkuu usisahau historia ya mara kadhaa ya viongozi wa Kisabato walivyofilisi waumini wao na maelfu kufa kwa uongo wa kalenda ya kurudi kwa Yesu Kristo.

Hakuna kanisa lilo sahihi au safi!

Kila mmoja ana historia mbaya!
 
Watu wanatetea haki za kiutu za mashoga kama walivyo binadamu wengine.

Siyo kwamba wanakubaliana na hizo tabia za kishoga.

Kuna watu wanajihalalisha kuua mashoga.

Sasa inakuwaje mashoga wawe wadhambi ila wauaji wasiwe tatizo.

Hapa siyo dini ni masuala ya utu tu.
Vilaza wa bongo mafisadi na watekaji wanaonekana ni watu bora kwenye jamii huku mashoga wakionekana ni mashetani.
 
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢
KOHIYO TUTEGEMEE KUAMBIWA KUPIGANA PIPE NI SAWA SIO?
 
Acha kuongea mambo kwa kufuata mkumbo, ushoga una hatahari gani kwenye maisha yako ya kila siku mpaka ushupaze shingo? Wanaume wote wakiwa marijali wewe utawatafutia k..ma?
Akili za wabongo ni kushabikia mpira na harakati za kupinga ushoga tu.
 
Kanisa ni moja
Kanisa ni takatifu
Kanisa ni katoliki
Kanisa ni la mitume
Kanisa ni moja ❌
Kanisa ni takatifu ❌
Kanisa ni katoliki ✅
Kanisa ni la mitume ❌

✅ = 25% ❌ = 75%

Weka bidii kwenye somo la imani‼️
 
20250510_064509.jpg
 
Itikadi za katoliki zinamkanganyiko sana,
Hairuhusiwi kuoana ila matukio ya usenge tena mengine ni kwa hao makasisi wakubwa kanisani wameyafumbia macho, vitu vya aibu kabisa, bora anaye enda kwa mwamposa
 
Mkuu mbona watu wanafanya hayo mambo toka enzi za Rutu, sio jambo jipya labda kwako.
Dunia hii watu walishafilimbana tangu zamani haya tunayoyaona ni machache laiti tungekuwa na uwezo wa kuingia kwenye vyumba vya watu basi tungehamia Mars hali sio
 
Back
Top Bottom