MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 371
Mkuu ukishajua ndio tayari kashakuwa shoga. Omba tu Mungu aepushe mbali ndugu yangu!!Kabla hajafikia kua shoga, tayar atakua ashajutia dalili za huo Ushoga anaouelekea
Mkuu ukishajua ndio tayari kashakuwa shoga. Omba tu Mungu aepushe mbali ndugu yangu!!Kabla hajafikia kua shoga, tayar atakua ashajutia dalili za huo Ushoga anaouelekea
Rudi kwenye kauli tata.Hebu weka hizo kauli tata tujadili hapa.Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
🙋✍️🎯👍👌👏👊🤝🙏Ni suala la muda tu, mnaandaliwq kisokolojia, siku mkitamkiwa kua ni ruksa kua punga msighafirike bali mlitetee kanisa.😀😀😀
Wakatoriki wengi maandiko ni chenga, ila kulitetea kanisa sasa, wanalitetea kinoma kwa kila baya.
🤣 🤣 🤣 🔊🎯🤝🙏Acha kuongea mambo kwa kufuata mkumbo, ushoga una hatahari gani kwenye maisha yako ya kila siku mpaka ushupaze shingo? Wanaume wote wakiwa marijali wewe utawatafutia k..ma?
🙋✍️🎯👍👌👏👊🤝🙏Dunia hii watu walishafilimbana tangu zamani haya tunayoyaona ni machache laiti tungekuwa na uwezo wa kuingia kwenye vyumba vya watu basi tungehamia Mars hali sio
🤔 🤔 🤔 💭Anategemea watu aliowaumba
Mkuu yesu hakuacha Kanisa, aliacha Sinagogi ambalo tafsiri yake ni Msikiti.Kinachonitia hofu zaidi ni media za Magharibi kufurahia sana.
Ila kwenye mafundisho ya msingi mtazamo wake mpaka sasa (kama hatabadilika) ni kupinga utoaji mimba, ndoa za jinsia moja, n.k.
Vyovyote itakavyokuwa, milango ya kuzima haitalishinda Kanisa la kweli lililoachwa na Kristu.
🙋✍️🎯👍👌👏👊🤝🙏🎁I think badala ya kutukana , bora ungemwambia kistaarabu. Kutukana ni dalili ya weak minds.
🙋✍️🎯👍👌👏👊🤝🙏🎁🎖️Lugha ni formalities tu, but kama ujumbe umefika hamna haja ya matusi. Kama huelewi lugha omba usaidiwe si matusi
Kanisa ni nini?Mkuu yesu hakuacha Kanisa, aliacha Sinagogi ambalo tafsiri yake ni Msikiti.
Na kwa taarifa yako Yesu hakuwahi kuwa Mkristo na wala hakuanzisha ukristo!
Usipotoshe watu!
Mshauri wa mama ni nani kwa mfano?Ushaambiwa ndiye alikua mshauri mkuu WA papa Francis, Hata ajenda za ushoga alizokua alizitamka Kila mara, tunapaswa kuamini aliemshauri ni yeye.
Maana hakuwai kujiuzulu wadhfa wake (Kama mshauri mkuu) Wala kuzikemea Kwa cheo chake kingine (Kama kiongozi mkuu wa makardinari)
Lakini tulimuita baba mtakatifu na atabaki kuwa mtakatifu, haya mambo bwana ngoja tuoneYule papa alikua anaboa sana kauli zake, huyu nae akifata nyayo mshumaa uzime tu kwakweli.....inakera
Wew sio Roman na hujawai kuwa RomanNaongelea Imani yangu, (Roman Catholic), waislamu wataongelewa na waislamu wenzao
Wew sio mkatolin , wew ni muasi wa iman yako ya asili ya Afrika na unajificha kweny ukatolikiMimi ni mkatoliki ila toka walitoa historia ya mapapa kutokea Africa eti ni watatu ambao kabla dunia ilikuwa haijaumbwa nilichoka weee mwafrica gani alikuwa papa mwaka wa 300s mara mwaka wa 190s sijui hukoooo afu saivi mchakato ukifanyika hakuna kadinali mweusi anayepata huo moshi mweupe hahahhaa haya mambo ngoja tuonee DeepPond
Mie swala la waafrica kuenguliwa hata halinishtui, waafrica sisi tabia zetu tunazijua 😂😂😂 ni zile zile kwa mtu wa kawaida ni zile zile kwa viongozi...... Tuondolewe tu hadi pale tutakapouwa na tabia zinazofaa 😂Mimi ni mkatoliki ila toka walitoa historia ya mapapa kutokea Africa eti ni watatu ambao kabla dunia ilikuwa haijaumbwa nilichoka weee mwafrica gani alikuwa papa mwaka wa 300s mara mwaka wa 190s sijui hukoooo afu saivi mchakato ukifanyika hakuna kadinali mweusi anayepata huo moshi mweupe hahahhaa haya mambo ngoja tuonee DeepPond
Hao walikuwa wasabato au baptists? Fuatilia.Mkuu usisahau historia ya mara kadhaa ya viongozi wa Kisabato walivyofilisi waumini wao na maelfu kufa kwa uongo wa kalenda ya kurudi kwa Yesu Kristo.