Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,384
Mitume wakiamka leo, ni mboko tu huko Vatikano - kama alivyofanya Mwana wa Seremala hekaluni Yerusalemu.Kiukweli mitume wakifufuka hawatoamini wanachokiona

Kumbe mizimu yenu ilikuwa inatoa mioto makalioni afu hutujuzi Wakubwa?666 ni porojo za alinacha tu kama hadithi za bibi yangu za mazimwi kutoa moto makalioni
Mitizamo iko mingi, wengine Mungu wao allah, B'aalMungu kwa mtazamo upi!?.. maana wengine Mungu wao yesu, ng'ombe
Tunapaswa kuamini? Said who?Ushaambiwa ndiye alikua mshauri mkuu WA papa Francis, Hata ajenda za ushoga alizokua alizitamka Kila mara, tunapaswa kuamini aliemshauri ni yeye.
Maana hakuwai kujiuzulu wadhfa wake (Kama mshauri mkuu) Wala kuzikemea Kwa cheo chake kingine (Kama kiongozi mkuu wa makardinari)
Kanisa lipi ambalo watumish wake hawana record chafu?Ukizingatia maana na asili ya neno catholic, sioni ajabu kwa yanayofanyika ,kwani hili linaloitwa kanisa takatifu ni serikali inayojua nini inafanya,kama wewe ni mfuatiliaji kuna mzuri utagundua the roman catholic church imefanya blasphemy nyingi tokea miaka ya zamani mpaka kesho jioni . Ukisoma ENCYCLICAL OF POPE LEO XIII utaona jinsi gani kanisa hili lisivyo husiana kabisa na Mungu wa kweli badala yake linapotosha watu.
Rekodi chafu zipo kwa watu wote na makanisa yote pia,ninachosemea hapa ni motive behind huduma za kanisa husika.Kanisa lipi ambalo watumish wake hawana record chafu?
Which is?Rekodi chafu zipo kwa watu wote na makanisa yote pia,ninachosemea hapa ni motive behind huduma za kanisa husika.
Mlishaambiwa hizi dini si zetu tumeletewa tu ili kuchezewa akili lakini bado tu hamtaki kujitambua. Imagine Mwafrika unajiita Mkristu ama Muislam ili iweje, hivi hamuoni haibu kweli?Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Tatizo hili… mnaweka siasa kila sehemuKwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
mungu akusamehe kwa kuwa ujui usemalo..Papa ana wasaidizi /washauri zaidi ya 10.Na akuna ishu ya katoliki kukumbatia Ushoga.na wala Katoliki awana na awabariki Ushoga na aitotokea kama vile kuja kuwa na Mapadre wa kike au mapadre kuja kuoa...Ni mapema mno kumuhukumu huyu new pope tumpe mudaKwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Hatukumuelewa Trump alipost kavaa vazi la papa ila baada ya hili tendo tumemuelewa kwanini alipost vileKwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Pole mvàa kobazi unateseka ukiwa wapi?Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Aliyekamilika ni Mungu peke yake watu hudhani mitume na manabii ,zamani hawakuwa na dhambi mtizame hata Daudi tu kama case study ..... Wewe mwenyewe umekamilik?Njoo uvae abaya,achana na wahuni wanaojipa utakatifu wakati Wana dhambi kedekede,papa aliyefariki alikua baunsa wa night club huko Bueno saires argentina,akaleta mambo ya night club vatican kwa kushajiisha uchoko