Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Trump kashinda tarrif mpaka kwenye uchaguzi WA Pope

Hapa HATA china haion ndani kapigwa ,200%

Potelea mbali alafu akamalizia mazunagumzo yanaruhusiwa
Makady wakaona usiwe taabu kivile YAISHE mkuu

ENDELEEN kubishana nae Huyu mwamba mtanielewa siku moja
Huelewi chochote zaidi ya ujinga tuu
 
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢
Usitukane mamba kabla hujavuka mto
 
Mkuu deepPond salaamu na heshima zikufikie, ndugu yangu napenda nikuulize swali hili.

Hatuombei na Mungu aepushilie mbali ila kwa mfano ndio imetokea, Mwanao Kawa shoga, utafanya nini??

Mkuu utamuombea, utamtupa/tenga au utamuua???

Hivi Mkuu ulisha wahi kujiuliza swali hili?

Mkuu kanisa ni hospitali ya wadhambi! Kama ilivyo hospitali kutochagua wagonjwa hali kadhalika Kanisa nalo pia halichagui au kubagua wadhambi.
 
Kwani si munasemaga ya kwamba Papa huchaguliwa na mungu. we kula ugali na kisamvu tu babuuu
 
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢
Watu wanatetea haki za kiutu za mashoga kama walivyo binadamu wengine.

Siyo kwamba wanakubaliana na hizo tabia za kishoga.

Kuna watu wanajihalalisha kuua mashoga.

Sasa inakuwaje mashoga wawe wadhambi ila wauaji wasiwe tatizo.

Hapa siyo dini ni masuala ya utu tu.
 
lakini pia wanazibariki ndoa zao. Hapo vipi
 
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢
Ungepata nafasi ya kupiga kura wewe ungempigia nani na kwa sababu zipi?
 
Kwan papa ni kiongoz wa waroma au waislam ? Mbona huangaiki na masheikh wanaosapoti mauaji ya watoto huko Somalia kwa kukusanya wapiganaj hapa kwetu na kuwapeleka Somalia kupigana
 
Ushaambiwa ndiye alikua mshauri mkuu WA papa Francis, Hata ajenda za ushoga alizokua alizitamka Kila mara, tunapaswa kuamini aliemshauri ni yeye.

Maana hakuwai kujiuzulu wadhfa wake (Kama mshauri mkuu) Wala kuzikemea Kwa cheo chake kingine (Kama kiongozi mkuu wa makardinari)
Kwani mkuu ukiwa mshauri mkuu unadhani ushauri unaotoa lazima upokelewe!?
 
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢
Utawala wa Rais Donald Trump anaruhusu ushonga?
 
Back
Top Bottom