Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,926
Kwahiyo unapendekeza baadhi ya wanaume wasiwe marijali?Wanaume wote wakiwa marijali wewe utawatafutia k..ma?
Kwahiyo unapendekeza baadhi ya wanaume wasiwe marijali?Wanaume wote wakiwa marijali wewe utawatafutia k..ma?
Kwani walimjua kwa kupokea pesa kutoka kwake?Hivi kuchaguliwa na mnaojuana si ndio rushwa tu hiyo ama
Kila kwenye ubaya na uzuri pia upo, huenda ukawa ni mwanzo mpya wa kuujua ukweli juu ya hii taasisi iliyokuwa imara kwa karne kadhaa.Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Anapashwa atekeleze ajenda za Mungu na za kanisa, sio zake au za papa aliyepita
Anategemea watu aliowaumbaHuo ukuu wake uko wapi kama anashindwa kutenda mambo yake mwenyewe hadi ategemee watu?
It make senseKwani walimjua kwa kupokea pesa kutoka kwake?
Cha pili, utamchaguaje mtu usiye mjua?
Anzisha la kwako. Inakukera vipi wakati dini ya watu imeletwa na umeikuta??Yule papa alikua anaboa sana kauli zake, huyu nae akifata nyayo mshumaa uzime tu kwakweli.....inakera
Mtukufu maana yake nini!?Hakuna Mtakatifu ila kuna Mtukufu.
Salama salmin..huku mkubwa Mungu tu,anayeamrisha na kubadili mambo Mungu tuHuko kwenye Abaya ndiyo kuko salama?
Andika kiswahili mnduku weweWhy are you as a man using a female identity? Any plan to be sodomized ?
Daudi hakuzini, biblia ina kawaida ya kumtukana Mungu na manabii wake,ndiyo manabii walifanya (musa aliua mtu japo ni kabla hajawa nabii)makosa lakini daudi hakuziniAliyekamilika ni Mungu peke yake watu hudhani mitume na manabii ,zamani hawakuwa na dhambi mtizame hata Daudi tu kama case study ..... Wewe mwenyewe umekamilik?
Kwenye ukatoliki kauli ya mkubwa wako ni amriUshaambiwa ndiye alikua mshauri mkuu WA papa Francis, Hata ajenda za ushoga alizokua alizitamka Kila mara, tunapaswa kuamini aliemshauri ni yeye.
Maana hakuwai kujiuzulu wadhfa wake (Kama mshauri mkuu) Wala kuzikemea Kwa cheo chake kingine (Kama kiongozi mkuu wa makardinari)
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
utabiri wa ile edit ya trump hatimaye umetimia,,,,Connected successfull
I think badala ya kutukana , bora ungemwambia kistaarabu. Kutukana ni dalili ya weak minds.Andika kiswahili mnduku wewe
Jamaa anaandika kitu asichokuwa na uhakika nacho.Kitu usichokijua ni kama usiku wa giza. Huyu hakuwa mshauri mkuu.
Alikuwa anasimamia uchaguzi wa maaskofu dunia nzima.
Alijijengea marafiki wengi. Ndio maana alipata support.
Kwa jinsi kanisa lilivyo, muundo wake hauna mshauri mkuu wa Pope