Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢
NDIO MAANA YULE SHOGA ANAEPINGA USHOGA ALIVAA NGUOO ZA KIPAPA JUZI.kumbe alikuwa anatoa amri.
 
Hayo ni mawazo yako. Kimsingi, hata alichokuwa anaongea Papa Francis kipo kibiblia, ila upeo wa uelewa ndio unakuwa umefikia mahali. Huwezi kumchukia binadamu kwa kuwa anatenda dhambi, unachotakiwa ni kuikemea na kuichukia dhambi yenyewe.
Hapa Bongo mwezi wa pili hivi alitokea shoga akasema anaacha ushoga na ameokoka, na anataka kusomea uchungaji. Kwa nini walokole hawakumkataa, wakamkaribisha na kumchangia hela? Kuna tofauti gani na alichosema Francis? Ingefanywa hivyo na RC kungetokea makelele kuwa wanahalalisha ushoga!
 
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢
Kuongelea nafsi ya mtu mwingine ni dhambi na ni upumbavu. Usha msikia msimamo wake..? Hii ndio maana mafisadi africa hawatakaa waishe.
 
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢
🤣🤣🤣🤣
Mungu wa kweli ni mmoja tuu, mungu wa mataliban. Hawa wengine miungu yao ya uwongo tuu
 
ni majira yake! Mchafu aendelee kuchafuka, msafi aendelee kutakaswa.

“Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.

— Ufunuo wa Yohana 22:11 (Biblia Takatifu)
 
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.

Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.

Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.

Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.

KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.

Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.

TUMEKAMATIKA TENA😢

Wabongo mnapenda sana kudandia mambo,

Kwani ushoga ni jambo la mtu kulazimishwa?

Kwani leo Tanzania hakuna mashoga mbona wapo wengi tu

Au hizi kelele mnazopiga za nini?

Ushoga ni option ni jambo la siri la mtu
 
Wanawalaani mashoga huku wanawakumbatia wala RUSHWA na kuwarandikia MAZURIA MEKUNDU ili wapite na walinzi wao.
Tena utayasikia " wabariki viongozi weru"
 
Back
Top Bottom