Hata Yule Jamaa wa afya ni mjinga mjinga tuKwenye hawa mawaziri atleast wanaofanya mambo kwa utulivu na akili ni Prof.Mkenda na Mama wa Tamisemi..hawa wengine sioni leadership charisma ndani yao..that's for me.
Team February Marope acheni uchawiKwa mara ya pili Tanzania Waziri Mkuu anaenda kusitishwa uongozi katikati tukumbuke Warioba na Sokoine waliwai kusitisha uwaziri mkuu kwa sababu mbali mbali..
Kwanini mnaharibu Moody za watu hivi!!! Unafikiri uliowataja humu wakipita humu watapata usingizi kweli!? JAPO UNAPIGA RAMLI TUKwa mara ya pili Tanzania Waziri Mkuu anaenda kusitishwa uongozi katikati tukumbuke Warioba na Sokoine waliwai kusitisha uwaziri mkuu kwa sababu mbali mbali
Sokoine ilikuwa kwa ajili ya Masomo Lakin Warioba ilikuwa kushindwa kutoa ushauri murua .
Wengine wanaoaga ni Nchemba anapelekwa Kilimo!
Tax anakuwa wa Fedha !
Jaffo out !!!
JMsoga
Hivi unaelewa kwamba wazo la tozo la simu limetoka kwa Ummy Mwalimu na kupata support ya raisi?Kwenye hawa mawaziri atleast wanaofanya mambo kwa utulivu na akili ni Prof.Mkenda na Mama wa Tamisemi..hawa wengine sioni leadership charisma ndani yao..that's for me.
Mkuya ndiye yule meno yanayotaka kudondokaMbona nimesikia wa fedha atakuwa Mkuya alafu Tax ni Biashara ???
Akithubutu kumuweka Saada Mkuya waziri wa fedha ajue wapinzani wake huko CCM watamvaa mchana kweupe 2025 wanagombania.Mbona nimesikia wa fedha atakuwa Mkuya alafu Tax ni Biashara ???
Katiba MpyaTaifa la tetesi na memes...
Ni yule ambae Dr Kashilili or something aliekufa majuzi (akiwa katibu mkuu fedha) alikuwa na kazi ya kumfundisha uchumi uzuri wake; ikabidi waziri akasome uchumi huku anashikilia nafasi.Mkuya ndiye yule meno yanayotaka kudondoka
Wapinzani wake si ndio nyie? Nendeni mkatafute kazi za kufanya kwa sasa mama anataka mabadiliko.Akithubutu kumuweka Saada Mkuya waziri wa fedha ajue wapinzani wake huko CCM watamvaa mchana kweupe 2025 wanagombania.
Maana hizo zitakuwa ni dharau zilizopitiliza.
We kama unaona akina Lissu wanajiropokea sawa.Wapinzani wake si ndio nyie? Nendeni mkatafute kazi za kufanya kwa sasa mama anataka mabadiliko.