Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

Wakabadilisha fedha anaondoka na mabadiliko yake au tunabaki na uchafuzi uliofanyika ?
 
Kwa mara ya pili Tanzania Waziri Mkuu anaenda kusitishwa uongozi katikati tukumbuke Warioba na Sokoine waliwai kusitisha uwaziri mkuu kwa sababu mbali mbali

Sokoine ilikuwa kwa ajili ya Masomo Lakin Warioba ilikuwa kushindwa kutoa ushauri murua .

Wengine wanaoaga ni Nchemba anapelekwa Kilimo!

Tax anakuwa wa Fedha !
Jaffo out !!!

JMsoga
Kwanini mnaharibu Moody za watu hivi!!! Unafikiri uliowataja humu wakipita humu watapata usingizi kweli!? JAPO UNAPIGA RAMLI TU
 
Kwenye hawa mawaziri atleast wanaofanya mambo kwa utulivu na akili ni Prof.Mkenda na Mama wa Tamisemi..hawa wengine sioni leadership charisma ndani yao..that's for me.
Hivi unaelewa kwamba wazo la tozo la simu limetoka kwa Ummy Mwalimu na kupata support ya raisi?

Mwigulu kama waziri inabidi alisimamie tu na kuli-backup kama sehemu ya uwajibaki wa pamoja.

Ummy Mwalimu ubunifu ni zero; kidogo tu huko TAMISEMI ana kaukali ukali but she is not consistent.
 
Mbona nimesikia wa fedha atakuwa Mkuya alafu Tax ni Biashara ???
Akithubutu kumuweka Saada Mkuya waziri wa fedha ajue wapinzani wake huko CCM watamvaa mchana kweupe 2025 wanagombania.

Maana hizo zitakuwa ni dharau zilizopitiliza.
 
Mkuya ndiye yule meno yanayotaka kudondoka
Ni yule ambae Dr Kashilili or something aliekufa majuzi (akiwa katibu mkuu fedha) alikuwa na kazi ya kumfundisha uchumi uzuri wake; ikabidi waziri akasome uchumi huku anashikilia nafasi.

Ila JK alikuwa na teuzi za ovyo.
 
Akithubutu kumuweka Saada Mkuya waziri wa fedha ajue wapinzani wake huko CCM watamvaa mchana kweupe 2025 wanagombania.

Maana hizo zitakuwa ni dharau zilizopitiliza.
Wapinzani wake si ndio nyie? Nendeni mkatafute kazi za kufanya kwa sasa mama anataka mabadiliko.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom