dah! M/mungu aiweke roho yake mahali pema
Mahali pachafu iwekwe roho yake mbaya.
dah! M/mungu aiweke roho yake mahali pema
Hivi kuna wanaosema kuwa Osama hajafa? Kina nani hao?
Hahaha msela I am not in the business of naming names ila ukisoma posts kadhaa nyuma utaona mwenyewe. Chini hapa ni baadhi tu ya hizo posts.
https://www.jamiiforums.com/international-forum/131315-osama-bin-laden-killed-40.html#post1924562
https://www.jamiiforums.com/international-forum/131315-osama-bin-laden-killed-32.html#post1923342
https://www.jamiiforums.com/international-forum/131315-osama-bin-laden-killed-32.html#post1923366
https://www.jamiiforums.com/international-forum/131315-osama-bin-laden-killed-31.html#post1923294
Wewe si ndiyo dizaini ileile mnakuwa na pent-up sexual frustrations na agressions kibao ndani yenu hadi ikifika hatua Imam/Sheikh anakuja na dili ya kujivinjari na "Mabikra 72" ahera ili mjilipue kutetea "Islam", basi mnakuwa mko desperate kujilipua ili mradi muwahi "ahera" mkawakojolee hao "Mabikra 72" hewa kwa zamu.
Piga nyeto mara kwa mara ku-release tension in your "Muslim" body & soul bro, na glasi ya wine mbili tatu au 12-pack ya Heineken kila wiki is all right: I promise you, you'll feel just fine, if not even better.
Hapo lazima makomandoo wa Israel wametumika wale watu ni vichwa balaa
Sasa zile tapes za Osama zilizotoka baada ya kifo cha Benazir Bhutto kupita Al Jazeera na Al Arabiya zilikuwa ni zuga?Mimi kuna video oja nimepata kuiangalia bibi Bhuto alitamka kuwa Osama aliuliwa, ila kuna wanaopinga kauli yake kwa kusema kuwa amekosea.
https://www.jamiiforums.com/international-forum/131315-osama-bin-laden-killed-31.html#post1923294Mbona sijaona anayekataa outright kuwa jamaa kafa. Wengi wana mashaka tu. Au mtu kutilia kitu shaka kwako ndo kukataa?
MAREKANI WAMECHAKACHUA KIFO CHA USAMA BIN LADEN
Ni kweli hajafa hiyo ni propaganda ya ki-inteligencia,Saddam Udei na Qusssei waliwaua na kutuonesha miili yao hadharani tena Saddam ndie waliemnyonga hadharani kabisa.Iweje leo OSAMA BIN LADEN walie sema WANTED DEAD OR ALIVE wamuue na kupiga kaicha kama passport size na kupaka ndevu damu waseme kafa? huo ni usanii na ukweli utajulikana kuhusu kifo cha OSAMA mie siamini kwani story za kwamba kafa torabora sijui wapi zilianza muda mrefu.We need EVIDENCE MWILIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIiii wa OSAMA tuuuuuuuuuuuuuuuuonne kama ule wa SADDAM DNA haitasaidia,WAMECHAKACHUA KIFO CHA USAMA BIN LADEN YU HAI
Watanzania bwana. Ukanjanja wa Simba na Yanga tunauendeleza hata kwenye mambo ya intelijensia kubwa za wenzetu. Tumezoea kuona polisi waliovaa suruali zilizotatuka kwenye mifuko na wanajeshi wanaopiga raia. Jamani hii operation ya US haina mfano. Bin Laden is no more. Makelele tunayopiga ni matokeo ya kutokuwa na mambo ya kitaifa ya kujivunia. Wao US wameonesha ukomandoo wao, sisi Gbagbo hadi wafaransa watie mikono. Afrika bwana, maneno meeeeeengi.!!!
Nazjaz usiwe mbishi, kama Osama hajafa ajitokezi kupinga uongo wa marekeni
Ndio hapo pa kujiuliza.Sasa zile tapes za Osama zilizotoka baada ya kifo cha Benazir Bhutto kupita Al Jazeera na Al Arabiya zilikuwa ni zuga?
Al Zarqawi, Al Masri, Maulana Faqir Mohammed, Mehsud Baitullah and the list goes wote waliuliwa watu wakabishaa weeee lakini mwisho ikaja kuwa kweli sasa kwenye ili la Osama only time will tell.
Do not underestimate the power of the Navy Seals brother!Mossad wamefanya kazi yao.
kulingana na chombo cha habari fox news, Osama alifariki kabla ya juzi Afghanstan na kuzikwa, alifariki kwa matatizo ya mapafu yalokuwa yakimsumbua kwa kipindi kirefu, isije ikawa wamarekani wamefukua maiti yake na kujitengenezea jina kuwa mtu walomshindwa kwa zaidi ya miaka kumi wamemuua wao, kumbe kafa natural death, kwa habari zaidi wadau gongeni www.foxnews.com