SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
kulingana na chombo cha habari fox news, Osama alifariki kabla ya juzi Afghanstan na kuzikwa, alifariki kwa matatizo ya mapafu yalokuwa yakimsumbua kwa kipindi kirefu, isije ikawa wamarekani wamefukua maiti yake na kujitengenezea jina kuwa mtu walomshindwa kwa zaidi ya miaka kumi wamemuua wao, kumbe kafa natural death, kwa habari zaidi wadau gongeni www.foxnews.com
The way FOX News wanavyomchukia na kumtafutia sababu yoyote ya kumuaibisha Obama halafu hiyo story ingekuwa ni ya ukweli basi it wouldn't take even minutes kwa hao Fox na Conservatives kumwuumbua Obama na saa hizi angekuwa amesha-resign.Nafikiri hiyo story is not credible...it's a conspiracy theory kama hiyo ya Obama's birth certificate...
Osama..rot in hell !!!