Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Huo uchaguzi alikuwa anashindwa na kina Trump au Michelle Bachmann? Uchaguzi uko November 2012 leo ni May 2011 kama ingekuwa ni propaganda ya uchaguzi si angesubiri mpaka mwakani.Obama anaelekea kushindwa uchaguzi mwaka kesho kwahiyo ametafuta nitoke vipi ili isaidie kurudisha imani kwa wananchi wa Marekani kusudi wasimpige chini mwaka kesho.
Hiyo picha imeanza kuzunguka mitandaoni miaka miwili iliyopita, heck unaweza kukuta ilitengenezwa na wapambe wa Osama mwenyewe, kuhusu mazishi tuangalie timeline
-Operation imeanza saa saba usiku ya Pakistan (saa kumi jioni muda wa Washington D.C.)
-Obama katoa maelezo saa 11:30 usiku Washington time (Saa mbili asubuhi Islamabad)
-Wamemtupa baharini kati ya saa 1:00 - 2:00 am (Saa tano asubuhi Islamabad)