Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.
Poleni sana waumini wa Osama, sio wewe tu wanaojaribu kujifariji, ila mzungu sio muarabu, mwaka huu mtakufa kwa ugonjwa wa moyo, anayefuata sasa ni Gadaffi. Nakumbuka wakati ule saddam ilipoelezwa kuwa amekamatwa wenye ufuasi naye walikataa kuwa siyo yeye. Kama Uongozi wa Pakistan wamepongeza na kuthibitisha kutokea kwa kifo hicho cha Osama ndani ya ardhi yake wewe mtu wa tandale utakataa?
 
azikwe asizikwe gaidi ni gaidi tu,sijui mnahoji ili nini au ni wale wale chama lake mliobaki?
 
At lasy the fugitive has met his Maker......................for final journey to hell..........................
 
Nasikia Wamarekani wameamua kumzika baharini ili kupoteza ushahidi na kuzuia wafuasi wake wasiende kuzuru kaburi lake maana kuna baadhi walimwona mtakatifu hivyo kwa kumtosa baharini wenyewe wanasema wamewakomesha wafuasi wake. Lakini pia inawezekana hawaja mzika na wanayo bado maiti yake waifanyie uchunguzi kama wajerumani walivyofanyia Mkwawa.
 
Kuzika siyo lazima "kuweka mwili kwenye shimo" - Nadhani wengi ndipo mnapokosea!

Hindu baada ya "kuchoma mwili" upeleka sehemu ya majivu baharini/mtoni na hayo kwao ndiyo mazishi

Jews wao huweka miili kwenye mapango na kufunga na jiwe

e.t.c

mwili wa usama bin laden - umepumzishwa baharini
 
Hapo lazima makomandoo wa Israel wametumika wale watu ni vichwa balaa
 
is-the-bin-laden-picture-fake-140425382.jpg


Nyie wengine ni akina Tomas ktk Biblia, haya picha hiyo.

Kwa picha hizi mbili it is very tempting kuamini kuwa kuna uchakachuaji. Kwanza, hiyo picha ya pili (maiti?) haina mvi nyingi kama hiyo ya kwanza (or raher, ndevu ni nyeusi zaidi). Mantiki ingetaka picha ya pili aonekane akiwa mzee zaidi. Pili ni angle na namna alivyoweka midomo katika picha hizo mbili vinashabihiana sana kiasi na inatia shaka kama picha hiyo ya pili ni halisi na siyo photoshop ya hiyo ya kwanza.

All in all, mimi naami Osama amekufa labda debate inaweza kuwa ni lini amekufa/au amekufaje.
 
5680724572_d4696d593d_z.jpg


Mzee Obama na timu yake wakishuhudia Operation ya kumkong'ota Chinjachinja Osamah.

Mrs Clinton anaonekana alikuwa aamini kinachojiri! Naona Mkao wa Obama unaweza kukupa picha gani alikuwa ame-cross fingers! Gates na Baiden looks like walikuwa ndiyo "architect" wa hii operation!
 
Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.

kama hujui kitu afadhali kunyamaza kuliko kujivunjia heshima.

kama hawajamuuwa tuambie basi yupo wapi?
 
Hali zenu great thinkers wenzangu! Naomba mnijuze wadau bahari alipozikwa huyu gaid nambari moja wa al-qaeda ambaye kwasasa hatunaye tena duniani, hapa namaanisha Osama bin laden, Nawasilisha.

Kazikwa North Arabian Sea.. ila ni changa la macho hilo wamarekani wamekuja nalo
 
Hata wewe unatudanganya. Kama yupo hai, tuambie yuko wapi na anafanya nini.

He probably died years ago with a disease au yuko visiwa vyovyote ghali akinywa $3000 champagne akiwa amefanyiwa plastic surgery na hao hao wamarekani...
 
Satellite Image kutoka GeoEye
34xgj69.jpg

This one-meter resolution image shows a walled compound in Abbottabad, Pakistan. According to news reports Abbottabad is the town where Osama bin Laden was killed by U.S. forces. The image was collected by the IKONOS satellite on May 2, 2011 at 10:51 a.m. local time while flying 423 miles above the Earth at an average speed of 17,000 mph, or four miles per second.
http://www.geoeye.com/CorpSite/gallery/detail.aspx?iid=377&gid=20
 
kama hujui kitu afadhali kunyamaza kuliko kujivunjia heshima.

kama hawajamuuwa tuambie basi yupo wapi?

Hajajivunjia heshima, kaongea ukweli, it doesn't make any sense kwa marekani kumuua osama na kumzika 8 hours later BAHARINI kwa kile wanachodai wanaheshimu sheria za kiislam, uongo mtupu.....
 
After Uncertainty, a Moment of Triumph in the Situation Room: ‘We’ve IDed Geronimo’



Read more: After Uncertainty, a Moment of Triumph in the Situation Room: ‘We’ve IDed Geronimo’ | Swampland

5680724572_d4696d593d_z.jpg


Mzee Obama na timu yake wakishuhudia Operation ya kumkong'ota Chinjachinja Osamah.
Hapo ingekuwa ndio nchi za kiafrika ungemuona raisi yupo na mke wake na watoto wake kwa kutaka sifa,hii manake nini ni kuwa kwa wenzetu mke na familia yake hawaingilii wala kunufaika na nafasi za mume au baba yao katika uongozi wa nchi,
 
duh.hi mpya binadamu anazikwa baharini?beside haki yake ya imani imevunjwa!waislam hawaziki baharini.

Ni kweli imani yake imevunjwa kwani huyu alikuwa mfuasi hodari wa imani yake. Kuua wa tz na wa kny ilikuwa ni njia moja wapo ya kutimiza misingi ya/nguzo za imani yake. Kufundisha vijana wadogo kufanya maagamizi ya roho za binadamu ni kutimiza moja ya nguzo za imani yake, kufadhiri makundi ya magaidi ni kutimiza moja ya nguzo za imani yake. Ama kwa hakika alipaswa kuzikwa kwa heshima kubwa na viongozo wa dini yake kwani alitimiza matakwa kwa imani ya dini yake kwa vitendo. Wamarekani ni watu wabaya sana.
 
Marekani kiboko, wanataka kuondoa majeshi yao huko lakini watayaondoaje bila kujidai wamemaliza kazi iliyowapeleka?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom