Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Sasa huo udini umetokea wapi wakati ushasema kwenye Kurani hakuna sehemu inayotaja 'bikra 72' ?
Soma tena between the lines it was a sarcastic remark...Kama umeamini kuwa ni comment yenye udini hayo ni maamuzi yako na hakuna chochote ambacho naweza kufanya.
Vipi unapingana na maelezo yako, usomi ulicho kiandika kabla?
 
Labda unazungumzia wakiviacha vyote watapata kila kitu mara 100. I mean Wake mia, mashamba n.k

Sasa hapo ndiyo umesema kitu gani? Kipi bora kati ya Wake 100 na Bikira 72, haswa ukitilia maanani hao Wake 100 nao wote lazima wawe bikra kulingana na Quran? Hayo mashamba 100 nayo ni ya ahera au? Range Rover Vogue 100 na Ngamia 100 navyo vyote vinapatikana huko "ahera", ni suala la chaguo binafsi, siyo?
 
Ndio ilivyo andikwa kaka, wala usikasirike...!

Yaani kila ulichokiwacha...! It means KILA KITU... Mpaka chu.pi
 
Mie napingana na statement 'Rest in Peace'. Maana haina maana yoyote. Kwani kuna mahali pabaya na pazuri peponi? Na kama mtu alikua mbaya duniani, kwakusema R.I.P kinamfanya kwenda mahari pazuri/pabaya?
Osama ni kama mimi na wewe, he will either go to hell or to heaven. Ila mimi na wewe, we still have a choice to make, either to work towards hell or torwards heaven. Usije ukashangaa Osama Bin Laden unamkuta mbinguni, maana uwezi jua matendo yake ya mwisho kabisa.
 
Ni kaswali kadogo tu wajameni, hivi hitma ya shekhe osama bin laden itakuwa lini? Kuna jamaa zetu hapa nchi lazima wataandamana kulaani mauaji na hata kumsomea shekhe osama.

Mkuu mzee saa hizi anasubiriwa na mabikira 72 tuu...Wenzetu soon watataka kumsomea ili wale wali tuu na mapilau...
 
Labda mkuu alimaanisha kuwa kutakuwa na more Osama style terrorists to lead and act like him in the future. It will need someone else to Kill em!
 
Mie napingana na statement 'Rest in Peace'. Maana haina maana yoyote. Kwani kuna mahali pabaya na pazuri peponi? Na kama mtu alikua mbaya duniani, kwakusema R.I.P kinamfanya kwenda mahari pazuri/pabaya?
Osama ni kama mimi na wewe, he will either go to hell or to heaven. Ila mimi na wewe, we still have a choice to make, either to work towards hell or torwards heaven. Usije ukashangaa Osama Bin Laden unamkuta mbinguni, maana uwezi jua matendo yake ya mwisho kabisa.

Mkuu sikupingi wala kukuunga mkono am on the air mzee, naweza sema Osama Bin Laden alikuwa shujaa kwa upande wake lkn kuwa upande wa Wamarekani alikuwa Adui, pia wamarekani ni maadui kwa upande wa Osama so who is mkweli God Knows...ila mie nitasema R.I.P comred Osama bila kujali tofauti zao na wamarekani maana nao pia sio wema kama tunavyofikiria...
 
Ndio ilivyo andikwa kaka, wala usikasirike...!

Yaani kila ulichokiwacha...! It means KILA KITU... Mpaka chu.pi

Sawa bana. Lakini huna basi sababu ya msingi ya kulalama kuhusu Bikra 72 tu wakati Muislam ameahidiwa Wake 100 ambao pia ni mabikra.
 
President Bill Clinton tried but failed
President GW Bush tried but failed
President Barack Obama tried and succeeded
Moral of this, if you want someone dead hire a black man.......

Nasubiri Kikwete ampongeze Obama kwa kazi nzuri
 
Sawa bana. Lakini huna basi sababu ya msingi ya kulalama kuhusu Bikra 72 tu wakati Muislam ameahidiwa Wake 100 ambao pia ni mabikra.
Ah ah ah ah ah, sasa mkuu hao mabikira 100 wanatoka wapi tena?

Kaka uwe unasoma maandiko.
 
Vipi unapingana na maelezo yako, usomi ulicho kiandika kabla?
Ebo!! Nilichokiandika kabla ni Wakati Osama akifaidi 'bikra 72' (sarcasm).....Sasa kama wewe unaona ni comment ya kidini hiyo ni juu yako.

Haya sisi umejitambulisha kama muislamu ndaki ndaki mwenye siasa/msimamo (m)kali tuambie mtu anayejitoa muhanga kuua infidels anapewa nini akienda mbele ya haki?
 
"Geranimo" ndo jina walilokuwa wamempa Bin Laden kwenye opearation hii,inasemekana baadhi ya scenes za shambulizi zilikuwa zinatizamwa live kwenye situation room ya white house by President Obama pamoja na VP Biden.Bin Laden aligoma kussurender inaonekana, na yeye akawa anamimina risasi baada ya walinzi wake wawili pamoja na mwanamke aliyetumika kama shield kuuwawa.
Source:CNN
 
Usije ukashangaa baada ya miaka mingi jama wanamkumbuka kama mmoja wa wazee wa iman. Miaka kati ya 450 -1750 A.D kuna taasisi mmoja kubwa iliwaua watu wa Mungu, ila leo viongozi wake leo wanakumbukwa kama watakatifu. Kwangu Osama may not be a hero, but to some one else he is a hero. In this doomed world, anything can happen.
 
Ebo!! Nilichokiandika kabla ni Wakati Osama akifaidi 'bikra 72' (sarcasm).....Sasa kama wewe unaona ni comment ya kidini hiyo ni juu yako.

Haya sisi umejitambulisha kama muislamu ndaki ndaki mwenye siasa/msimamo (m)kali tuambie mtu anayejitoa muhanga kuua infidels anapewa nini akienda mbele ya haki?
Kwani ukiwa Muislam mwenye msimamo mkalali mpaka uuwe watu bila sababu ya msingi? We vipi?

Hao wanaojitoa muhanga anayejua malipo yake ni Mwenyezi Mungu tu, kwani yeye ndiye hakimu wa haki na ndiye anayejuwa nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi, mimi na wewe hatuna uwezo wa kujua wala kutambua nani yupo sahihi.

Hivi hatuwezi kujiuliza kwanini wanajitoa muhanga?
 
Wako brainwashed ndo sababu ya kujilipua. Mafunzo ya kishetani kwanini viongozi wao hawajitoi muhanga wao AMA wale bikira 72 na wajakazi 800 hawaamini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom