Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Wakubwa japokuwa kuna taarifa ambazo bado hazijathibitishwa na evidences za kutosha kuhusu kifo cha Osama. naamini kwamba ile picha aliyopigwa risasi sio ya kweli. Nimejaribu kuilinganisha naona ni picha ile ile ila imefanyiwa photoshop.... Kwanini wamzike haraka haraka hivyo.. nani ana mamlaka na mwili wa Osama..... kama ni kuua story ya osama kwenye vichwa vya watu hapa duniani basi marekani wamefanikiwa. Nadhani kwa muda wote huo ambao walikuwa wanamtafuta basi wangechukua angalau hata mfupa wa maiti yake. Hii si mara ya kwanza kusema kwamba Osama amauawa....... till I die... Osama is alive

ukisoma msitari wa mwisho tu utaelewa kuwa ata iweje we umeamua kubisha mpaka kufa. Aya bwn.
 
lazima tukubali tech. iko juu Americans wapo juu huu si ushabiki wa mpira(yanga vs. simba) suala hua ni muda ,always you can't stop the time mimi infact nilikua namchukia Osama sana tu kwa yale aliyotufanyia wa Tz pale Dar leo hii wanazaliwa wanafiki kusikitika je angerudi mara ya pili je bado wangeendelea kum-support.Hapa ieleweke Osama ni Gaidi sio Osama ni Muisilamu ,Uisilamu hauagizi hivyo ndio maana hata waarabu wanaoujua uislamu vilivyo hawamfagilii huyo chizi.Ok alijua kuwakamata wale waliokamatika/bado wamekamatika ktk kile kulinda uislamu.Uislamu hauko hivyo na hautakua hivyo.
 
Osama Bin Laden's Killing: How Tech Helped In The Takedown


s-OSAMA-BIN-LADEN-large.jpg


It is possible to pinpoint several key junctures where technology played an important part in the takedown of Osama bin Laden, though significant gaps still exist.
According to officials, the search took off when a detainee gave up the name of bin Laden's main courier, who made a single phone call that let the government locate him. Even as electronic gadgets and mobile Internet connections on the field helped Navy SEALS to track down bin Laden in Abbottabad, it was the lack of technology that provided the first clue.
There was something suspicious about the million dollar mansion in which the U.S. military eventually found Osama bin Laden: The complex had no Internet access or telephone service.
Though the building was cut off from the web, the U.S. government was still able to use technologies to gather data about what could be happening within, and who might be there.
Mitch Derman, a spokesperson for i2, which provides intelligence analysis and investigation management software to the special forces, defense and national security communities, made it clear that the world in 2011 is not only inundated with new and numerous sources of information, but also with increasingly sophisticated ways to analyze them.
"The key is that this has been an intelligence success," said Derman. "Being able to analyze that data and make the connections enables you to make quick decisions."
While Derman could only speculate as to the kind of technology used to consider the information involved, software that i2 has developed can take data from multiple sources and create visualizations to present non-obvious connections and display patterns of behavior that might not otherwise have been clear. One kind of software, called social network analysis, determines the key players in a network and examines the effect that each has within that system -- a similar technique was used in the capture of Saddam Hussein.
The White House said that the military used satellite imagery of the complex, like those found in Google Earth, to help establish a high level of certainty that bin Laden was indeed inside the compound, and to help prepare for any attack. Using this information, they were able to take "highly advanced and still-classified technology to transform bits of information into actionable intelligence," according to the National Journal. They were also able to re-create the complex so that the raid team could practice.
After the al Qaeda leader was killed, the team still had to identify the corpse to confirm that the body was indeed bin Laden. While he was visually identified by a woman at the compound, as well as by members of the raid squad, the team also used facial recognition software.
The military is equipped with highly advanced handheld biometric units, called Secure Electronic Enrollment Kit, or SEEK II, which "according to a senior Defense Department official," Wired reports, were likely used on site to identify bin Laden. The devices, which weigh less than four pounds, can take iris scans, fingerprints and facial scans and send them back wirelessly to the military database to test against existing FBI records.
Once off-site, DNA was also used to ensure that the identity of the corpse was certain, reportedly from the brain matter of bin Laden's sister, who died in a Boston hospital. Fast Company notes that while matching sibling DNA can take up to 14 days, it's possible to receive results in under two hours:
Late in 2010, a University of Arizona team presented research on a machine that can do the analysis in just two hours in a largely automated way. It's possible that knowing they were engaged on a mission to capture Bin Laden, U.S. Forces arranged for access to a machine like this to be on quick alert--probably for flying blood, cheek cells, and other samples taken from the body to the lab for expedited analysis.​
Officials said such testing offers a level of accuracy near 100 percent.
News of Osama's death hit Twitter an hour before Obama's news conference officially disclosing the event. Sohaib Athar, a Pakistani local, even managed to unwittingly livetweet the action. The news was enough to set Twitter records: The site hit the "highest sustained rate of tweets ever" on Sunday night, with an average of 3,440 tweets per second sent between 10:45 p.m. EST and 12:30 a.m. EST.












p-444Ux5EmpXDp6.gif
 
Amini usiamini! Mwili unaodaiwa na Marekani kuzikwa baharini ni kizungumkuti na mazingaombwe tu, ukweli wa yaliyojiri utabainika muda si mrefu ujao. No body was buried in the sea, believe me or not!
Hebu upe ubongo wako kazi uwe bize kidogo utueleze vizuri kinachokupelekea uje na hiyo school of thought mpya. Ukweli wa yaliyojiri utabainika lini kutoka source ipi? Bahati mbaya media za magharibi ziko unmatched na hizo pro-Osama media, na hata hiyo Al jazeera imeajiri Wazungu kama news anchors!
 
Perfect way to get rid of Bin Laden. Indeed, make it as quick as possible so there's no nonsense that could develop. And burial at sea is the best because you can't get a more nebulous and less concrete burial place. That must really disturb the simple-minded Islamic supremacists who can't fathom something like that -- they need literal symbolic focus points or they're lost. Now Bin Laden is lost for them.
 
We kama una ushaidi , na unauakika OSAMA, hajafa weka huo ushaidi, hapa jamvini
 
duh.hi mpya binadamu anazikwa baharini?beside haki yake ya imani imevunjwa!waislam hawaziki baharini.

Why would an unislamic method of garbage disposal at sea even matter?

This whole ritualized claptrap about respecting islamic burial rites, islamic this, islamic that has no place whatsoever in any speech of any western leader. It is completely unimportant. We got him, we shot him, we disposed of him. End of story. And now, moham-mad'ans, go pound sand.
 
...then Google/Tafuta Osama died December 13 2001 utaona mambo
 
Osama ni myth character aliyetengenezwa na hao hao Wamarekani ili ku-justify vamizi zake kwenye nchi zenye mafuta mengi au maslahi kwa serikali ya Marekani.

Wamemtengeneza na kumpamba vile walivyotaka hawe, kuna waliompenda, na kuna waliomchukia, zikatengenezwa na ideology ambazo wengi wakazichukuwa na kuzitumia ili kufikia malengo yao.

Sababu ya kuendelea na huyo mtu wa kufikirika, zimekwisha sasa, serikali ya Kimarekani inataka kuingia ungwe nyingine katika ulimwengu wa kimataifa, lakini kuna kikwazo, wanataka kutoka uko Afghanistan, watatokaje na hali walishaitangazia dunia kuwa wapo uko kumsaka Osama? Maana Vita imekuwa ndefu kuliko walivyotarajia, na kila kukicha ni hasara, wanatafuta njia ya kutokea, hawaioni kwa kuogopa aibu.

Kinachobakia sasa ni kumuua huyo myth character wao na kutangaza kwa nguvu zote.
Watu wataamini, kuna wachache sana, I mean very few people watataka ushahidi, ushahidi hautapatikana kwa sababu Osama ni mtu wa kufikirika tu, chakufanya ni kuwaeleza kuwa wamemuuwa na katika saa 3 tangia kumuua wamemzikia baharini kwa kufuata taratibu za dini yake (!?). Nadhani dini yake watu wanazikiwa baharini kwa mujibu wa jeshi la kimarekani...!

Wengi wamefurahia tukio ilo na wengi hawataki kujuwa kama ni kweli ama uongo, kwa sababu itakapojulikana kama ni uongo na wao washazoea kuongopewa itawauma na kuwasumbua sana kisaikolojia.

Matukio Muhimu:

  • Siraha za maangamizi nchini Iraq, zimepatikana ndio maana watu hawahoji tena na wala hawataki kujua.
  • Osama Bin Laden, kapatika karibu na kambi kubwa sana ya Jeshi nchini Pakistan, na mwili wake umezikwa baharini kwa mujibu wa dini yake.

Next Move:

  • Kujiandaa kwa majeshi ya Kimarekani kuondoka Afghanistan, maana Osama kesha uawa.
  • Baraka Obama kushinda kiti cha Urais kwa mara ya pili, kwani ni shujaa aliye ongoza operation ya kumsaka na kumuua Osama.
 
Ajabu kuona watu wanasema Osama alikuwa myth character baada kuona wamarekani wametangaza kumuua.Nasema ajabu kwa vile watu hao hao wanaosema alikuwa myth character ndio walio kuwa wakimshangilia kila akitoa video ya vitisho au kuunga mkono shambulizi na kusema kwamba Osama ni kiboko.
 
... Google/Tafuta Osama died December 13 2001 utaona mambo
 
RT: Young people are celebrating Osama's death outside the White House and all across the US. Why are they celebrating?

MS:



Obama destroyed this myth today in order to reverse the American scenarios – to bring troops out of Afghanistan.


With Osama dead, the US doesn't need a war in Afghanistan. I.


Source: Obama Ruins a Myth
whitehouse wameshasema hawatatoa majeshi yao hivi punde afghanstan-regardless Osama ameshakufa
 
Ajabu kuona watu wanasema Osama alikuwa myth character baada kuona wamarekani wametangaza kumuua.Nasema ajabu kwa vile watu hao hao wanaosema alikuwa myth character ndio walio kuwa wakimshangilia kila akitoa video ya vitisho au kuunga mkono shambulizi na kusema kwamba Osama ni kiboko.

Ukistaajabu ya musa, utaona ya...
 
Kuna thread moja nimeandika maneno haya:
Kufa kwake akunipunguzii wala kuniongezea chochote kwenye maisha yangu ya kila siku...! Hiyo ni juu yao na watu wao wanaopenda na kuamini media drama, mimi hainishughulishi kwa kweli. Kwa sababu tangia mwanzo sikuweza kuwaamini kuwepo kwake huyo Osama....

Kicheko kinaendelea....! kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi koh ko koh koh.... mgh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom